Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Huyu bwana Jona hana mdigido naona story nzima hata kusema achangamshe akili kwa kidigika tu hakuna stoy za ujasusi bila mahaba na kudigidana haziendi vizuri
 
  • Thanks
Reactions: ADK
Steve mdogo wangu, hiki unachokifanya kinakujengea heshima kubwa sana na kinakuweka katika kevels za juu sana? Hongera sana.. Kwa kweli unaweza na kipaji unacho. Kitendo cha kuahidi muda flan utatupia mzigo na kweli unatupia...!!!! We we in Khabari nyingine kabisa.. Tupo tunaofuatilia kimya2 wengi tu... Usibadilike ukawa kama watunzi wengine wababaishaji, nisiseme sana.. Keep it up..
sure
 
Stering huwa hafi kizembe kama alivyopatikana Alphonce. nimefurahi kuona Jona bado yupo hai. hasante Steve kwa story nzuri
 
Back
Top Bottom