Recent content by jndetembea

  1. jndetembea

    ONLINE SERVICES

    I have these accounts for Sale...!!✨ ✨ Turnitin Account ✨ Grammarly Account ✨ QuillBot Account ✨ Chegg Account ✨ Course Hero ✨ Bartleby Account ✨ Netflix Screens ✅ _ I am Plagiarism Removel Expert! 1️⃣Plagrisam check 2️⃣Plagrisam remove 3️⃣Chegg unlock 4️⃣Chegg post 5️⃣Course hero...
  2. jndetembea

    INAUZWA Stationery Inauzwa

    50,000 kwa mwezi
  3. jndetembea

    INAUZWA Stationery Inauzwa

    Kwa anayehitaji kuanzisha biashara hii sio ya kukosa. stationery inaweza kuingiza hadi 200,000 kwa siku (ila sio kila siku)
  4. jndetembea

    INAUZWA Stationery Inauzwa

    Stationery Inauzwa. Bei 2,500,000 (Hakuna Punguzo). Stationery Ipo Mwanza, Jirani na chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino. Stationery ipo katika eneo zuri sana na inawateja wengi sana. (Sababu za kuuza ni mwenye nayo kukosa usimamizi). Ndani kuna vitu vifuatavyo: 1. Computer 1 2. Printer 2...
  5. jndetembea

    Natafuta mfanyakazi wa stationery/ typist

    Stationery ipo Mwanza Maeneo ya chuo kikuu cha Mt. Agustino (St. Augusitne University of Tanzania) SIFA ZA MWOMBAJI Awe mkazi wa Mwanza (Maeneo jirani na chuo) (kama sio mkazi awe na pakuishi) Awe na elimu ya kidato cha NNE na kuendelea Awe na ujuzi wa computer pamoja na vifaa vingine vya...
  6. jndetembea

    Mfanyakazi wa Stationery/Typist

    Stationery ipo Mwanza Maeneo ya chuo kikuu cha Mt. Agustino (St. Augusitne University of Tanzania) SIFA ZA MWOMBAJI Awe mkazi wa Mwanza (Maeneo jirani na chuo) (kama sio mkazi awe na pakuishi) Awe na elimu ya kidato cha NNE na kuendelea Awe na ujuzi wa computer pamoja na vifaa vingine vya...
  7. jndetembea

    Ilmu Khodam--the Occult Art of Acquiring and Directing Spirit Servants

    Ilmu Khodam--the Occult Art of Acquiring and Directing Spirit Servants ILMU KHODAM--ITS PURPOSE One of the most interesting occult arts to be found in Islamic occultism is what the local practitioners here in Indonesia call "Ilmu Khodam" The word ilmu (pron. "eel- moo") literally means...
  8. jndetembea

    Nini maana ya neno UCHOCHEZI?

    Jamani wadau nisaidieni maana ya neno "UCHOCHEZI" Imefika wakati imekuwa vigumu kwa watu kutoa maoni yao kwa sababu kila utakacho kisema ambacho kinapingana na serikali (mawazo yako juu ya jamb o fulani) watu wanasema unafanya uchechezi. Hivi, uchochezi ninini? Wadau nisaidieni maana ya neno...
  9. jndetembea

    Tumaini jipya kuhusu ajira kwa walimu wa masomo ya sanaa (arts)

    Kwenda kwenye bodaboda hiyo sio kujiajiri. Kwani tulisomea bodaboda?
  10. jndetembea

    Naomba tafsiri ya sentensi hii ya kiingereza

    Before the lazy man turns over heavily the farmer has reached the farm Tafsiri kwenda kiswahili
  11. jndetembea

    Tumaini jipya kuhusu ajira kwa walimu wa masomo ya sanaa (arts)

    Waziri mkuu wa jamhuru ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa (16/09/2016 11:40Am. "mheshimiwa spika kuhusu upungufu wa walimu serikali imeona iwapange walimu mashuleni moja kwa moja, nguvu nyingi zimeelekezwa maeneo ambayo yanaupungufu mkubwa sana ili kupunguza au kumaliza kabisa tatizo la...
  12. jndetembea

    Serikali kuwapangia shule walimu wa Sayansi

    Serikali kuwapangia shule walimu wa sayansi Serikali imeanza kupanga walimu wa sayansi moja kwa moja katika shule badala ya Halmashauri kama ilivyokuwa awali ili kuleta uwiano sawa wa walimu katika shule mbalimbali nchini. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI)...
  13. jndetembea

    Kwa pamoja Tujadili hili Tangazo jipya la TAMISEMI

    Hivi Cyber crime inafanya kazi kweli? Inakuwahe mtu anapost taarifa za upotoshaji halafu jachukuliwi hatua? Hats lini tamisemi wakatumia barua pepe ya gmail? Lugha iliyoandikwa pale ni ya mtu wa mtaani. Yaani ambaye hajasoma.
  14. jndetembea

    Nafasi ya kazi (TYPIST)

    Sifa za mwambaji Awe mkazi wa Mwanza (Nyamagana / Ilemela) Awe na elimu ya kidato cha NNE Awe na spidi ya Ku type Awe msichana Umri miaka 16-24 Tuna Maombi kupitia email Joyceissack@gmail.com Mwisho tarehe 02/10/2016 Wahi kutuma Maombi ili kupata nafasi hii.
  15. jndetembea

    Uchumi unakua, takwimu hazidanganyi

    We need source of this information. Sio kuweka tu ushabiki mbele
Back
Top Bottom