Uchumi unakua, takwimu hazidanganyi

Uchumi unakua, takwimu hazidanganyi

Kila siku hamkosi sababu. Tumepiga kelele kuhusi uchumi weeee, uchumi unaenda vizuri sasa tunarukia katiba. Kwa nini tusiwe na msimamo kuhusu kitu kimoja na tuendelee kushauriana na serikali namna bora zaidi ya kuboresha uchumi. Katiba imefanyaje sasa ?? Inahusianaje na uchumi kukua au kutokua? ? Tusiwe wajinga makamanda
Acha matusi wewe unapoongea na mwanaume
 
unakuwa?
Waziri mkuu aliulizwa juzi bungeni akasema hajui, mpaka akae na wadau na watafiti, leo hii mmeshakaa nao tayari? BOT wametoa takwimu zinazoonyesha economic activity kupungua

Dsm ndio kitovu cha biashara TZ, uchumi ukikua au kusinyaa impact yake inaanza kuonekana kwa wazi zaidi Dar, na ukiangalia hapa watu wengi wameachishwa kazi kwenye makampui ya usfirishaji, mawakala wa forodha, fastjet nao wamepunguza wafanyakazi, mahoteli yanafungwa, baa zinafungwa n.k ku refelect kuwa uchumi umeshuka

Na justification inayotolewa na Magufuli na wanaomuunga mkono kuhusu hili ni kuwa biashara nyingi zilikuwa kutokana na ukwepaji kodi na ubadhirifu wa fedha za umma hivyo Magufuli alipoingia akaondoa hivo vitu lazima uchumi utasinyaa

Leo unakuja kutuambia kuwa uchumi unapanda? kwa hiyo hizo fedha haramu mlizoondoa kwenye mzunguko zimechangia uchumi kukua zaidi? Yaani unapunguza fedha kwenye mzunguko halafu uchumi ukue??? theory ya wapi hii?

Sasa nyie mnawafanya watanzania maboya kwa kuwaambia uchumi unakuwa? na hayo mazao ya wakulima kupanda bei sijui takwimu umezitoa wapi maana watu wanauza nyanya ndoo 700, wenngine wanazilisha mifugo, mbaazi nazo zimepungua bei....Mbona mnawatukana wakulima aisee?? a

Rais amesema anapambana na matajiri matokeo yake masikini ndio wanaoishia kuachishwa kazi na kushindwa kutunza familia...........Anyway most of them they deserve it
Mmeambiwa pesa zimefichwa na wafanya biashara. Ngojeni Magufuli ammke siku aseme anabadili fedha ndani ya wiki moja muone watu watakavyouana barabarani kwa mbio za kuelekea kwenye mabenki
 
Katika siku za karibuni kumetokea ukosoaji mkubwa hasa kuhusu hali ya uchumi wa Nchi yetu, baadhi ya wakosoaji wakidai hali ya uchumi ni mbaya na kwamba mtaani hakuna fedha jambo ambalo lilimfanya Mhe. Rais atolee majibu hoja hii na kusema bayana kuwa wanaosema kuwa hakuna hela mifukoni ni wale ambao walikuwa wakipata fedha zao kwa njia zisizo halali.

Kauli hiyo ya Mhe Rais inakubalika na watafiti na inapewa nguvu na takwimu za mapato kutoka vyanzo mbalimbali vya ndani ya Nchi. Uchunguzi unaonesha kuwa sera na staili ya uongozi wa Rais Magufuli hasa katika nyanja ya Uchumi imewavutia wawekezaji na wageni kutoka nje.

Uchambuzi unaitaja sekta ya Utalii ambayo inaiingizia Serikali takribani 25% ya fedha za kigeni, pamoja na upotoshaji mkubwa wa wakosoaji baada ya imposition ya VAT, bado kuna ongezeko la asilimia 11 ya watalii kuanzia Julai mwaka huu.

Lakini si tu kwa Utalii, bali mapato ya Nchi kwa ujumla wake yameendelea kuongezeka na hivyo kuipa Serikali fursa ya kuwekeza na kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.

Infalation imepungua kufikia asilimia 4.9 na inashuka zaidi, maana yake ni kuwa bei za bidhaa muhimu zinazidi kushuka na bei ya mazao ya wakulima zinapanda.

Ni kama vile ujenzi wa Reli ya Kati ni utani wa kusimulia, lakini tunategemea kuiona Tanzania yenye uwezo mkubwa sana katika sekta ya uchukuzi na mawasiliano ambayo itategemewa na nchi za maziwa makuu na Afrika ya Kati.

Bomba la Mafuta kutoka Uganda ni mradi ambao wakosoaji wanajaribu kuufanya uonekane kama ni upanuzi wa jengo la machinga complex, wanaficha ukweli wa nafasi ya bomba hilo katika ukuaji wa uchumi wa Tanzania na maendeleo ya watu wake.

Wakosoaji, wanabeza Ununuzi wa Ndege tatu kwa ajili ya Shirika letu, tena kwa hoja dhaifu tu kuwa zimenunuliwa cash, kwanini zisinunuliwe kwa mkopo, tununue kwa mkopo ili tulipe riba maradufu. Ndege zinawasili na watanzania watanufaika na kuona matunda ya kura zao kwa Magufuli.

Kimsingi yako mengi yanayohusiana na uchumi wetu, isipokuwa TANZANIA yetu wapo WASEMAJI na WAKOSOAJI wazuri ila tunao WATENDAJI na WACHAPAKAZI wachache ambao tunajitahidi kuwavunja moyo ili mambo yasiende.

Mhe Rais wangu, Hongera kwa kazi kubwa unayoifanya kwa maslahi ya Nchi yetu na ustawi wa watu wake.
View attachment 399299
We need source of this information. Sio kuweka tu ushabiki mbele
 
Inflation rate si kipimo cha ukuaji wa uchumi sana ni sehemu ya kupungua kwa bei za mahitaji muhimu kama vyakula. Na hili ni dalili ya wazi ya kushuka kwa mzunguko wa pesa.

Takwimu za BOT na NBS zinaunyesha dhahiri kushuka kwa uchumi.

Halafu hizo jitihada za kuzungumza na wadau zina lenga nini kama si kuamsha mapato palipo dorora?

Unajua ukilamu ulipoangukia bila kujiuliza ulipojikwaa ni umbumbumbu usiotoa majibu ya tatizo.

Kwangu mimi haya ni matokeo ya uongozi batili usio na maono.
 
Nina wasiwasi na uelewa wako. Report imeelezea kila kitu.
Uchumi umeporomoka na siku sio nyingi wananchi watanza kulia na kusaga meno.

Tanzania Daily News (Dar es Salaam)

Tanzania: Economy Is Stable, Set for Strong Growth - BoT 12 SEPTEMBER 2016

By Florence Mugarula

The economy is stable and is set to grow as projected basing on the ongoing economic activities, the Bank of Tanzania (BoT) has said.

The bank said in a statement that various indicators show the positive economic growth for the year 2016 would reach the projected 7.2 per cent rate.

"We are confident that the ongoing economic activities in the country will boost the growth of the economy by 7.2 percent this year, as it was projected earlier," reads part of the statement.

It states that the increase in the export of local industrial goods is expected to contribute largely to the growth of the economy.

The export of industrial goods has recorded good performance in the past six months compared to the same period in 2015 reaching 728.5 million US dollars, which is an increase of 15.6 percent compared to goods exported in the same period last year.

According to the statement , there were all signs for strong economic growth due to the fact that the fifth government is determined to build up progressive economy.

"The fifth government does not give chance for corruption practices, it is ensuring strong supervision of resources and setting up strong infrastructure for building up industrial economy under the five years development plan," reads part of the statement

Among factors behind the country's economic growth include cement production on which in the first quarter of 2016, the production increased by seven percent.

In the first three months of 2016, the country produced a total of 725,000 tons of cement compared to 680,000 tons of cement, which was produced in the same period in 2015. The increase of cement production in the first three months of 2016 is attributed to the establishment of Dangote cement factory in Mtwara Region. "We expect other cement factories to boost cement production this year.

Cement is highly needed product in the country," reads the report.

The bank said generation of electricity has also increased in the country and thus helping to boost economic growth. In the first three months of 2016 power generation has increased by 14.5 percent to reach kWh 3,454.2m compared to kWh 3,016.7m of 2015.

The increase of power generation is attributed to the uses of gas. "Power generated from gas has increased by 52.2 percent, this situation will help production in various industries in the country," the report noted.

Moreover, importation of raw materials to Tanzania industries has increased by 19.4 percent in the last six months. According to the report, increase of importation of raw materials is due to the increase of production in Tanzania industries. Also the statement indicates that tax collection in the past six months has increased compared to the same period in 2015.

"This indicates that the government has so far managed to supervise the collection of tax and strengthening of the economy," reads the report. On loans from commercial banks to private sector, the report says that in the past six months a total of 1.2 trillion has been provided.

Moreover, the report states that in the first three months of 2016, the gross domestic product (GDP) grew by 5.5 percent compared to 5.7 percent of the same period in 2015.

Among sectors that contributed to the economic growth are agriculture (11percent), trade (10.6 percent), transportation (10.1 per cent) Finance (10.1 percent) and Communication (10 percent).

Economic activities that recorded high growth were Finance (13.5 percent), Communication (13.4) and public administration (10.2 percent).

Cc chige, Mipangomingi. MAGALEMWA, Ndumbayeye

Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
Tanzania: Economy Is Stable, Set for Strong Growth - BoT 12 SEPTEMBER 2016

By Florence Mugarula

The economy is stable and is set to grow as projected basing on the ongoing economic activities, the Bank of Tanzania (BoT) has said.

The bank said in a statement that various indicators show the positive economic growth for the year 2016 would reach the projected 7.2 per cent rate.

"We are confident that the ongoing economic activities in the country will boost the growth of the economy by 7.2 percent this year, as it was projected earlier," reads part of the statement.

It states that the increase in the export of local industrial goods is expected to contribute largely to the growth of the economy.

The export of industrial goods has recorded good performance in the past six months compared to the same period in 2015 reaching 728.5 million US dollars, which is an increase of 15.6 percent compared to goods exported in the same period last year.

According to the statement , there were all signs for strong economic growth due to the fact that the fifth government is determined to build up progressive economy.

"The fifth government does not give chance for corruption practices, it is ensuring strong supervision of resources and setting up strong infrastructure for building up industrial economy under the five years development plan," reads part of the statement

Among factors behind the country's economic growth include cement production on which in the first quarter of 2016, the production increased by seven percent.

In the first three months of 2016, the country produced a total of 725,000 tons of cement compared to 680,000 tons of cement, which was produced in the same period in 2015. The increase of cement production in the first three months of 2016 is attributed to the establishment of Dangote cement factory in Mtwara Region. "We expect other cement factories to boost cement production this year.

Cement is highly needed product in the country," reads the report.

The bank said generation of electricity has also increased in the country and thus helping to boost economic growth. In the first three months of 2016 power generation has increased by 14.5 percent to reach kWh 3,454.2m compared to kWh 3,016.7m of 2015.

The increase of power generation is attributed to the uses of gas. "Power generated from gas has increased by 52.2 percent, this situation will help production in various industries in the country," the report noted.

Mkuu ilo ni gazeti la serikali,haliwezi kukosoa. Jambo leo waliandika habari ya mdororo wa uchumi
0655433d179269c7dff15a332b927880.jpg
 
Mkuu ilo ni gazeti la serikali,haliwezi kukosoa. Jambo leo waliandika habari ya mdororo wa uchumi
0655433d179269c7dff15a332b927880.jpg

Wewe soma habari siyo vichwa vya habari.

Ilete habari nzima tuone kama kuna BOT au NBS official aliyesema maneno hayo, au ni maoni tu ya wanasiasa wachumi uchwara na wandishi wa habari ambao nao ni wachumi uchwara.

Hiyo habari ime-quote sources za information zao, na ni imeandikwa jana. Sasa wewe lete habari nzima tuione hapa.
 
Lipi kwako ni kipaumbele, kukufanya usilale njaa au kuruhusiwa kuandamana..???
Kwa hiyo wewe kila siku unapanga foleni kuchukua chakula cha mgao serikalini?
Nikiandamana kwa ratiba yangu maana yake najua nitakula nini. Au serikali inalazimika kuwaandalia lunch wandamanaji? Mbona huwa mnaongea "offals" badala ya maneno?
 
Wewe soma habari siyo vichwa vya habari.

Ilete habari nzima tuone kama kuna BOT au NBS official aliyesema maneno hayo, au ni maoni tu ya wanasiasa wachumi uchwara na wandishi wa habari ambao nao ni wachumi uchwara.

Hiyo habari ime-quote sources za information zao, na ni imeandikwa jana. Sasa wewe lete habari nzima tuione hapa.
Kasome taarifa za maana kwenye website ya BOT achana na magazeti ambayo waandishi wameweka na utashi wao humo humo.
 
Kasome taarifa za maana kwenye website ya BOT achana na magazeti ambayo waandishi wameweka na utashi wao huko humo.
Nimezisoma taarifa za BOT na NBS na data zao zote. Sasa, hiyo habari ni statement kutoka BOT na siyo midomoni mwa wanasiasa.
 
Mkuu wameamua kuja na taarifa za kutoka mtaa wa Lumumba, hizi za WB na BoT hawazitaki tena wamezisusa.

Mbona hii maneno yako inakinzana na taarifa ya BOT; y akwamba uchumi wetu una-shrink.

Anybody out there labda sijui kimombo; shrink = kukua? Nilidhani taarifa za BOT ndiyo sahihi au zenu ninyi wanasiasa?
 
Hakuna tena hela za bure mitaani,,, hilo lipo wazi kabisa,,
Maboss wa unga wengi hali zao kiuchumi zimeyumba

Wapiga dili nao wamedhibitiwa ,,,zile offer walizokuwa wanatoa kwenye sehem za starehe hivi sasa zimepungua sana au kuisha kabisa.

AJABU WATU WANASEMA HIZO NDO INDICATIONS ZA UCHUMI KUSHUKA.

Ikiwa bar/ hotel/ mradi wowote ulikuwa ukitegemea hela za aina hiyo ni wazi vitayumba.
 
Tangu hii thread imepandishwa, makamanda wanaruka na kukanyagana. Hawana hoja, hawana data.

Wamepewa takwimu, wamehamia kwenye vijarida vya mtaani kuwa vina facts.
 
unakuwa?
Waziri mkuu aliulizwa juzi bungeni akasema hajui, mpaka akae na wadau na watafiti, leo hii mmeshakaa nao tayari? BOT wametoa takwimu zinazoonyesha economic activity kupungua

Dsm ndio kitovu cha biashara TZ, uchumi ukikua au kusinyaa impact yake inaanza kuonekana kwa wazi zaidi Dar, na ukiangalia hapa watu wengi wameachishwa kazi kwenye makampui ya usfirishaji, mawakala wa forodha, fastjet nao wamepunguza wafanyakazi, mahoteli yanafungwa, baa zinafungwa n.k ku refelect kuwa uchumi umeshuka

Na justification inayotolewa na Magufuli na wanaomuunga mkono kuhusu hili ni kuwa biashara nyingi zilikuwa kutokana na ukwepaji kodi na ubadhirifu wa fedha za umma hivyo Magufuli alipoingia akaondoa hivo vitu lazima uchumi utasinyaa

Leo unakuja kutuambia kuwa uchumi unapanda? kwa hiyo hizo fedha haramu mlizoondoa kwenye mzunguko zimechangia uchumi kukua zaidi? Yaani unapunguza fedha kwenye mzunguko halafu uchumi ukue??? theory ya wapi hii?

Sasa nyie mnawafanya watanzania maboya kwa kuwaambia uchumi unakuwa? na hayo mazao ya wakulima kupanda bei sijui takwimu umezitoa wapi maana watu wanauza nyanya ndoo 700, wenngine wanazilisha mifugo, mbaazi nazo zimepungua bei....Mbona mnawatukana wakulima aisee?? a

Rais amesema anapambana na matajiri matokeo yake masikini ndio wanaoishia kuachishwa kazi na kushindwa kutunza familia...........Anyway most of them they deserve it
 
Haijawahi tokea ukawa wakawa na hoja. Ni vioja tu.
 
Back
Top Bottom