imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,404
Yap! Kama ulikuwa kichwani vile. Lugha rahisi.Ukimaanisha kuna fukuto la chinichini nchini ambalo halipaswi kumwagiwa petroli lusije kulipuka kabisa?
Yap! Kama ulikuwa kichwani vile. Lugha rahisi.Ukimaanisha kuna fukuto la chinichini nchini ambalo halipaswi kumwagiwa petroli lusije kulipuka kabisa?
Hivi ukiambiwa fulani anamchochea mkeo, ili avunje nyumba yako, serikali inaingiaje hapo.uchochezi ni kukosoa serikali.
baba ni serikali ya familia.Hivi ukiambiwa fulani anamchochea mkeo, ili avunje nyumba yako, serikali inaingiaje hapo.
Dhana ya kisheria inaanza na tafsiriNatafuta dhana ya kisheria. Sio kikamusi!
HahahaMimi naomba nielimishwe neno; KUTIWA MBARONI neno "MBARONI"
wasituchosheHabari zenu wakubwa.
Napenda kufahamishwa maana halisi ya neno uchochezi, maana kwa sasa kila kauli au kosa unaambiwa ni uchochezi leo hii TCRA inasema ukipokea ujumbe wa uchochezi futa mara moja na utoe taarifa mahala husika. Au ndio kuminya demokrasia yetu kwa kutumia mgongo wa neno uchochezi.
Daaah yani mpaka nashindwa kuwaelewa mara ID fake ni kosa kisheriawasituchoshe
Hakika tushaanza kuisoma tena kwa kirumiMwaka huu kweli Number itasomwa--
Kirumi chenyewe kile cha kale...Hakika tushaanza kuisoma tena kwa kirumi
Hatutakiwi kuongea kitu juu ya serikali yetu kwani ni uchocheziWatu hawakumuelewa General Ulimwengu tumekuwa matomaso wacha tuzisome