Habari wana jukwaa wenzangu,
Ushauri wengu ndio maamuzi yangu,ilikua mwaka jana nilipo achana na huyu binti niliyekutana naye kama miaka miwili nyuma,nilikaa naye home kwetu miezi miwili na nusu na baadae akadai ni mja mzito nilikubali kwani kipindi chote hicho nilikua naye na hata kipindi cha...