Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,588
- 7,287
Pole sana mkuu; kwa uliyopitia kwanza
Waswahili wanadai yatima hadeki na kweli hadeki. Tuache kuwapa hawa mama mimba na kuwa acha ili kupunguza tatizo hili, natumai hutakuja mkimbia mwanamke utakayempatia mimba maana kama ni shule tiyari umeipitia vizuri
Hatuzungumzii single maza,tunazungumzia mama wa kambo asa kuwapa mimba hao na mada hewani vinahusiana nini
wengi wanalelewa na mama za kambo kwa sababu mama zao ni single mother then mshua kaowa mwanamke mwingine
kwahyo mdau hapo yupo sahihi tu