Simpendi hata ile ya kinafiki jamani Naombni ushauri

Simpendi hata ile ya kinafiki jamani Naombni ushauri

Mkuu kama unamaanisha ulichoandika, basi kuwa maki sana!

Ni heri uoe mwanamke anayekupenda, ujifunze kumpenda, kuliko uoe mwanamke uliyeanza wewe kumpenda.

Kuwa makini na maamuzi unayotaka kufanya Mkuu...
mkuuu am trying harder kumpenda but still inakua ngumu sana kwangu yaa i don't know why
 
Na ukimuacha huyo mwanamke dhambi itakutafuna kila utakapoenda hutapendwa zaidi ya kuumizwa tu
 
Sasa kama humpendi uliwezaje kuwa na hisia nae
 
Eid mubark for all Muslims



Jamani kuna mwanamke nimezaa nae mtoto ila ki ukwelii simpendi hata asilimia moja daah na ni mzuri kweli ila simpendi ata lile pendo la kinafiki siwezi sijawahi kuongea nae vizuri namkaripia kila sikua ,na namuambia sikupendi ila bado ananiganda tuuu haelewi somo na shamuambia mimi sina feature ya kuishi nae kabisaa.

Wakuu naombeni ushauri ili aweze kuachana na Mimi maana simpendii
Tufanye huyo dada ndio uwe wewe,umeshazalishwa na ndio unampenda mtu afu mtu mwenywe hakupendi vaa uhusika,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom