Nimelazimishwa kushiriki tendo bila kinga

Hahaha jamaa kaeleza ukwel kabisa..

Mimi kuna mmoja alifanya hvyo halafu nikamkata maini baada ya tendo nikamwambia natafuta pesa za kwenda hospital kubwa ili nikajitibu niliambiwa siwezi kumzalisha mtu..

Nikitoka huko nitakutafuta tupate hata kabebi ketu[emoji23][emoji23]. Alinywea gafla kumbe kalikua na mimba katoka nayo huko alikotoka
Yaani umenichekesha mno umejua kutegua mtego kwa hiyo bibie akalala mbele mapenzi yakaishia hapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jiandae kuitwa Baba Kichwa Nyanya. Halafu usisahau kwenda kupima mkuu.
 
Wakuu habarini

Nina dem tuna kama miezi mitatu sasa, kipindi cha nyuma alikua akinisisitiza sana kutumia kinga kila tulipokutana kwa ajili ya mgegedo na nilifanya hivo.ila Kwa kipindi cha week moja maelewano yetu hayakua mazuri, jana amekuja geto ili tuyasuluhishe baada ya kumaliza tofauti zetu akataka nimgegede bila kinga nilimkatalia kwani sijamzoea hivo ila alileta fujo nyingi sana akisisitiza anataka dushe limuingilie nyama kwa nyama ikabidi nifanye hivo nimemshambulia peku usiku mzima
Sasa ameondoka kaniacha na mawazo sielewi lengo lake ni nini hasa hadi kukataa kinga
Relax brother, usije ukavuruga tena mahusiano yenu wala usimfikirie vibaya huyo mpenzi wako. Zidi kumpenda kiasi Ila usimuamini saana.

Ushauri mwingi wa JF unaweza kukugharimu. Yawezekana aliamua tu akupe kavukavu tu kwa upendo.

Ushauri wangu ni kwamba jiandae kwa lolote litakalotokea uwe umeshakuwa na majibu sahihi ya kumwambia.
Usiseme lolote kwa sasa. Furahieni tu mahusiano yenu.
 
Humu duniani kuna wajinga wakutupwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu ongera sana kwa kuwa baba mtarajiwa kwa sasa anza kununua nepi na mabeseni ya kumwogeshea katoto ketu
 
Ila wanaume mnapelekeshwa sana, inatia huruma
 
Umebakwa mkuu.Cha kufanya ni kwenda kumchukulia RB kituo cha polisi cha karibu.
 
Utasingiziwa mimba jiandae
Wakuu habarini

Nina dem tuna kama miezi mitatu sasa, kipindi cha nyuma alikua akinisisitiza sana kutumia kinga kila tulipokutana kwa ajili ya mgegedo na nilifanya hivo.ila Kwa kipindi cha week moja maelewano yetu hayakua mazuri, jana amekuja geto ili tuyasuluhishe baada ya kumaliza tofauti zetu akataka nimgegede bila kinga nilimkatalia kwani sijamzoea hivo ila alileta fujo nyingi sana akisisitiza anataka dushe limuingilie nyama kwa nyama ikabidi nifanye hivo nimemshambulia peku usiku mzima
Sasa ameondoka kaniacha na mawazo sielewi lengo lake ni nini hasa hadi kukataa kinga
 
Wakuu habarini

Nina dem tuna kama miezi mitatu sasa, kipindi cha nyuma alikua akinisisitiza sana kutumia kinga kila tulipokutana kwa ajili ya mgegedo na nilifanya hivo.ila Kwa kipindi cha week moja maelewano yetu hayakua mazuri, jana amekuja geto ili tuyasuluhishe baada ya kumaliza tofauti zetu akataka nimgegede bila kinga nilimkatalia kwani sijamzoea hivo ila alileta fujo nyingi sana akisisitiza anataka dushe limuingilie nyama kwa nyama ikabidi nifanye hivo nimemshambulia peku usiku mzima
Sasa ameondoka kaniacha na mawazo sielewi lengo lake ni nini hasa hadi kukataa kinga
Nakushauri akijakukwambia haoni siku zake kamnunulie Kalenda ya mwaka mzima umpe yy siku zote akikwambia kapima mwambie tena CD4 zangu zilishaliwa nikataka kubadilishana virusi tu.Atanza kulia yy kwanza
 
Sasa mkuu wasi wasi wako uko wapi wakati unakutana naye nafikiri ulimtongoza kwa ajili ya kua permanent kwa nini hukuchukua uamuzi wa kwenda kupima ukimwi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom