Recent content by jjeremiah

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya taa (kerosene)

    Yaliitwa mafuta ya taa (tar) kwa sababu yalitengenezwa kutokana na maligafi inayoitwa tar ama kwa neno jingine asphalt
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nilizaa na mwanamke mtoto wangu kapewa mume mwingine, nifanyeje?

    Hapo huna chako, heri baba kambo kuliko mama kambo,maana hata ukifanikiwa kumchukua bado mateso anayo weza kuyapata kwa huyo mkeo ni makali kuliko.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye kumfahamu Mtanzania huyu mkazi wa Magomeni, anateseka nchini Pakistan

    Na we hizi taarifa na picha unazipataje?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, ugali wa mtama unafaa kwa mgonjwa wa kisukari?

    Nasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda sasa, tatizo langu ni chakula gani kinafaa maana nimekuwa nikitumia ugali wa mtama lakini niki pima nusu saa baadaye nakuta imepanda mara mbili zaidi, naomba kujuzwa tatizo ni nini.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Katika jamii zingine kuoa mabinti wawili kutoka familia moja ni jambo la kawaida na sahihi kabisa, isitoshe ni heshima kubwa pia, hivyo kwa ufupi tu nakusihi endelea kuishi vizuri tu na mke mwenzio.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu hatarini, napewa unyumba kwa kulazimisha

    Yani dawa nzuri kabisa ni kuongeza mwingine, hapo utapewa tu sasa, ukikosa huku unaenda kule.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa akosa sifa za kuwa rais wa Tanzania

    Hiyo Golden Cresta iko mtaa gani hapo Mwanza
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya mafisadi, kesi namba moja itafunguliwa Richmond

    Nasikia uuzaji wa nyumba hizo pia ulipata baraka za baraza la mawaziri na mwenyekiti huwa ni waziri mkuu.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lissu, Mnyika, Slaa na wengine hawakuwepo kwenye mapokezi ya Lowassa?

    Nadhani ilikuwa vizuri ange pokelewa na Chadema kwanza ndiyo baadae ukawa tofauti na ilivyo fanyika kukaribishwa na viongozi wa ukawa
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    Mkeo alitegemea nini kukuacha na house girl!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Naomba masaada wenu wana jf doctor; ni ipi tiba nzuri kwa UTIs, nimetumia:- aminoglycosides, fluoroquinolones, aminopenicillins na zingine nyingi lakini bado sijaona mabadiliko.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika unaleta vurugu Bungeni wakati Ubungo Makoka barabara imechakachuliwa

    Kwani sheria za usimamizi wa miradi ya halmashari zikoje, sidhani kama mbunge ana paswa kusimamia kwa jinsi unavyo eleza maana kama sio taluma yake itakuwaje sasa.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hospitali binafsi zinaelekea kupoteza maadili ya kazi

    Hivi madaktari hawa wa hospitali za binafsi kwa ushauri wao wa vipimo vingi licha ya kuonyesha dalili zisizoendana ni sahihi kweli mfano una dalili za malaria unashauriwa kucheki malaria, kisukari au na choo, au dalili ni za typhoid unashauriwa kucheki ulcers na typhoid pia au mwanamke mjamzito...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Be aware of ripe banana!

    No both are correct words try to dig deep into your books you will possibly come up with a good explanation.
  15. J

    JamiiForums Tanzania MSAADA:-No such interface supported

    Nina shida katika computer yangu, natumia windows 7 na katika kugusa gusa nilijaribu wakati fulani ku edit user acc na toka wakati huo kila nikijaribu kufungua folders:- my computer, documents, control panel na zingine nyingi napata kijisanduku kidogo kilicho andikwa Explorer.EXE na ndani kuna...
Back
Top Bottom