1. Endelea kulea wote wawili hadi siku Mungu atakapokuchukua;
2. Mwanzishie huyo mama mradi wa maana (sustainable)-mwanao atakuwa yuko safi.
3. Endelea kuwapenda tu (hata kama ni kwa remote control).
NB: Kama vipi mweleze mkeo kuwepo kwa mtoto huyo (hata kama hutamleta nyumbani). Hapa inategemea na mkeo alivyo-maana kwa wengine panaweza kuchimbika!
mmmh kazi ipo hivi unaanzaje kumwambia sijui utaimba wimbo kama diamond :clap2:
Hahaaa! Ndio maana nikasema inategemea na mkewe alivyo.
Hongera kwa kutia doa ndoa yako......