Hospitali binafsi zinaelekea kupoteza maadili ya kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hospitali binafsi zinaelekea kupoteza maadili ya kazi

Discussion in 'JF Doctor' started by jjeremiah, Nov 19, 2011.

 1. j

  jjeremiah Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Hivi madaktari hawa wa hospitali za binafsi kwa ushauri wao wa vipimo vingi licha ya kuonyesha dalili zisizoendana ni sahihi kweli mfano una dalili za malaria unashauriwa kucheki malaria, kisukari au na choo, au dalili ni za typhoid unashauriwa kucheki ulcers na typhoid pia au mwanamke mjamzito kupigwa dripu kwa lengo la kutibu zile pregnancy sickness na mengine mengi tu yanafanyika kweli ni maadili halisi ya utabibu maana ninavyofahamu magonjwa mengi hutofautiana japo huweza kufanana kwa kiasi kidogo.
   
Loading...