Je, ugali wa mtama unafaa kwa mgonjwa wa kisukari?

jjeremiah

Member
Jul 30, 2010
43
13
Nasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda sasa, tatizo langu ni chakula gani kinafaa maana nimekuwa nikitumia ugali wa mtama lakini niki pima nusu saa baadaye nakuta imepanda mara mbili zaidi, naomba kujuzwa tatizo ni nini.
 
Back
Top Bottom