Mara 1000 kikwete kuliko magufuli si tupo tutaona.kwq serikali ya magufuli maskini atabaki kuwa maskini na tajiri atazidi kuwa tajiri..yetu macho.
Kwani kesi za ufisadi hazisikilizwi kwenye mahakama hizi za kawaida?
Ni mahakama gani zilizotumika kuwaweka Mramba na Yona korokoroni?
Nitoe rai yangu na hasa baada sasa ya kuwa na uhakika mahakama ya mafisadi itaanzishwa mara tu Magufuli atakapoingia ikulu. Tunamtakia kila heri kwa kujitoa huku. Na baada ya hapo nadhani watanzania sasa tutaanza kunyooka na kuwa na nidhamu na maadili kwa raslimali za taifa.
Magufuli ameshasema atayafunga majizi na wajiandae. Najua majizi yote na mafisadi hayatampenda naomba tu aongezewe ulinzi mkali.
Kesi namba moja itaanza kwa mzee wa Richmond.
Atueleze Kwa nini alipiga dili pamoja na utajiri wote alionao
Je pesa alipeleka wapi kwa nini basi hayo mapesa haramu asingeyatumia humu humu nchini. Na badala yake kwenda kununua majumba ulaya
Je ana ushahidi gani wa ziada zaidi ya yale yaliyotolewa na kamati ya Mwakyembe, Dr Slaa na magazeti ya Mwanahalisi miaka yote.
Je ni kwa nini aliamua kujinufaisha mwenyewe wakati wananchi wanapata shida lukuki.

mkuu naunga mkono hoja. kwenye richmond ashughulike na wote toka mkuu wa baraza la mawaziri aliyeruhusu richmond ingie mkataba.pia asisahau na yule aliyebadilisha richmond ikaitwa dowans baadae akaiita simbion na kuendelea kuilipa mamilioni ya shilingi za walipa kodi za watanzania.pia ahakikishe yule aliyekataa kuuvunja huo mkataba achukuliwe hatua.
Hivi nyie magamba lini mtakua na akili timamu...hv mgombea wenu alikua nani wakati wa richmondi!?mnadhani hajui dili ni ya mkuu wa kaya!? Pili magufli ana usafi gani wa kushtaki fisadi wakati yy mwenyewe ana kashfa kibao za ufisadi na zenye ushahidi wa wazi.. sometimez muache ushabiki wa kijinga hamjui hyo ni kiki ya kuombea kura..bosi wao alikuja na mahakama ya kadhi.. ipo wp sasa hv!? Na nini nani amekuambia ukiwa rais unaanzisha tu vitu unavyojiskia!? Kasomeni katiba na muielewe mkija hapa muongee vitu vya kueleweka.Nitoe rai yangu na hasa baada sasa ya kuwa na uhakika mahakama ya mafisadi itaanzishwa mara tu Magufuli atakapoingia ikulu. Tunamtakia kila heri kwa kujitoa huku. Na baada ya hapo nadhani watanzania sasa tutaanza kunyooka na kuwa na nidhamu na maadili kwa raslimali za taifa.
Magufuli ameshasema atayafunga majizi na wajiandae. Najua majizi yote na mafisadi hayatampenda naomba tu aongezewe ulinzi mkali.
Kesi namba moja itaanza kwa mzee wa Richmond.
Atueleze Kwanini alipiga dili pamoja na utajiri wote alionao
Je, pesa alipeleka wapi kwa nini basi hayo mapesa haramu asingeyatumia humu humu nchini. Na badala yake kwenda kununua majumba ulaya
Je, ana ushahidi gani wa ziada zaidi ya yale yaliyotolewa na kamati ya Mwakyembe, Dr Slaa na magazeti ya Mwanahalisi miaka yote.
Je, ni kwa nini aliamua kujinufaisha mwenyewe wakati wananchi wanapata shida lukuki.
Wakati waziri anauza nyumba za serikali bwana Sumaye ambae alikuwa bosi wake alikuwa wapiii. Tumieni akili hata kidogo. Msilete ushabiki. Nachukia sana unafiki huu
nakuhakikishia maghufuli ni mweupe kiuongozi kuliko jakaya. mungu aepushie mbali. watanzania tutakuja kujuta...