Recent content by jimmyfoxxgongo

  1. jimmyfoxxgongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    sawa
  2. jimmyfoxxgongo

    JamiiForums Tanzania Utafanya nini endapo kazini wanakuhisi wewe ni TISS?

    Niliwahi kuhisiwa usalama miaka hiyo Nimemaliza chuo nikapanga chumba mitaa fulani Mungu mwema nikawahi kupata ajira Sasa mzee asubuhi sipo narudi jioni au usiku sina story na vijana wa mtaa zaidi ya salamu tu Sasa akaja mwanangu kutoka mkoa akawa anashinda nao sana vijana wa mtaa ndo...
  3. jimmyfoxxgongo

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa JKCI, Prof. Janabi asema magonjwa ya moyo yataongezeka kutokana na ukuaji wa uchumi

    Kwa maelezo ya prof kasema magonjwa ya moya yanaongezeka Hata kama ni wa 20 tu wapo mjini kama mwanzo watu watano tu ndo walikuwa wanaugua magonjwa ya moyo na sasa wanaugua Watu 9 huoni kama kuna ongezeko hapo?
  4. jimmyfoxxgongo

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Ni ya medical?
  5. jimmyfoxxgongo

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari used Tanzania

    Tuonyeshe na starlet glanza
  6. jimmyfoxxgongo

    JamiiForums Tanzania Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

    Sasa nawaewa kama hamuamini uwepo wa Mungu pia hamtakaa muamini uchawi Ula kwa anayeamini uwepo wa Mungu atakuwa mpumbavu asipoamini uchawi.
  7. jimmyfoxxgongo

    JamiiForums Tanzania Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

    -Naomba kukuuliza kitu mkuu unaamini kuna Mungu? Ukinijibu hilo swali tutaendelea. -Unaamini kuna Mungu? Tunaanzia hapo -Mungu yupo unaamini hilo sio? -kama unaongelea facts ni kwamba unaamin Mungu hayupo na uchawi haupo right? Chemistry ipi inaweza kumuua mtu kwa kuchukua nguo yake...
  8. jimmyfoxxgongo

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    ‘Fail to migrate your information to the new round’ Hii imekaaje?
  9. jimmyfoxxgongo

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Hivi uki-apply round nyingine unalipia tena?
  10. jimmyfoxxgongo

    JamiiForums Tanzania Karibuni Open university of Tanzania

    Acha uongo.
  11. jimmyfoxxgongo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha kununua maeneo ya Kisesa au Igoma

    Ulipata wapi? Na bei gani?
  12. jimmyfoxxgongo

    JamiiForums Tanzania Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

    Makadirio ni tofali ngapi?
  13. jimmyfoxxgongo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Chukua laki.
  14. jimmyfoxxgongo

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Henry aliondoka mzee akiwa ameridhia tena kwa roho nyeupe na aliruhusu Hao vijana wengine walilazimisha kuondoka kwa kuona timu haifanyi vizuri kwahiyo prof aliruhusu ila kwa shingo upande thus why alikaza kuwarudisha.
Back
Top Bottom