Recent content by jimmycarter

  1. jimmycarter

    John Heche: Wananchi wa Tarime jiandaeni, Tutavamia mgodi wa Acacia na kupora kila kitu

    This is trap ambayo ccm wajilengesha wenyewe.
  2. jimmycarter

    John Heche: Wananchi wa Tarime jiandaeni, Tutavamia mgodi wa Acacia na kupora kila kitu

    Busara ya nini kwa kampuni ambayo ni feki?, Wakati wanatuibia na kuingia nchi kinyume na sheria wenyewe walitumia busara????? Bro, ssm wameingia nkenge wenyewe kusema kampuni ni feki wakati hiyo kampuni ssm mliileta wenyewe na mkasaini mikataba na sheria na hao wezi, sasa iweje jana mtuambie...
  3. jimmycarter

    John Heche: Wananchi wa Tarime jiandaeni, Tutavamia mgodi wa Acacia na kupora kila kitu

    Wewe ndio sio muelewa, bro jpm wametudanganya watanzania kusema ACACIA ni kampuni feki. Sasa kama ACACIA ni kampuni feki mbona inaendelea kuchimba madini?, na kwa nn aseme atakaa meza moja na kampuni ambayo haipo/haijasajiriwa Tanzania????,,,wake up bro.. Ndio maana henche akasema basi kama ni...
  4. jimmycarter

    Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Katiba ya warioba hileee kama naiona kwambali inajongea taaratibu. Kama kweli jpm ni mzalendo itabidi maraisi wastaafu nao wawekwe kwenye kikaango lakin kwa katiba hii hana uwezo wa kufanya hivyo, kwa hiyo basi mtukufu jpm ili uweze kushughulikia hili janga kisawa sawa inabidi bila kusita...
  5. jimmycarter

    Mgogoro wa Qatar in vita ya Waislamu dhidi ya Washirika wa Marekani

    Mwenye kuangalia haya mambo kijuu juu siku zote ataishiaga kumlaumu mmarekani. Marekani ana changamkia opportunities zinazotokana na hii migogo inayotokea huko middle east lakin kusema yeye ni mwanzilishi hilo nalipinga. Hii migogoro huko mashariki ya kati ilianza pindi tu Mtume Mohammed (S.A)...
  6. jimmycarter

    Mgogoro wa Qatar in vita ya Waislamu dhidi ya Washirika wa Marekani

    Mwenye kuangalia haya mambo ki juu juu siku zote anakimbilia kuilaumu marekani. Marekani wanatumia opportunity ya kutokana na mgogoro wa
  7. jimmycarter

    Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Acha kudumaza akili wewe, wakati serikali inapitisha sheria ya mawasiano ambayo ipo kinyume na katiba yetu unadha lengo lao likua ni nn??? Kama hauna taarifa basi kwa sasa private mawasiliano kwa person to person zinakua traced. Hiyo record ya mawasiliano kati ya wema na mbowe inayosambazwa ni...
  8. jimmycarter

    Polisi wavamia hotel ya Blue Pearl na kumkamata Mkurugenzi wa (THRDC) Onesmo Olengurumwa

    It is very dangerous to be right in wrong government.
  9. jimmycarter

    Je, Halima Mdee na Esther Bulaya wanastahili tena Msamaha wa Bunge?

    Hakudharau kiti cha spika bali spika ndiye aliye kidharilisha kiti kwa kutokua na weredi katika kutatua changamoto zinazo tokea bungeni.
  10. jimmycarter

    Tukishamaliza kumdhalilisha Rais, nini kinafuata?

    Kati ya lisu na ccm nani aliepitisha mikataba yote hii ya unyonyaji?, so raisi asirekebeshwe ama kushauriwa!??,,kweli leo nimeona ukweli wa msemo huu "It is very dangerous to be right in wrong government".
  11. jimmycarter

    Kwako Yeriko Nyerere

    Bunge wakati wanapitisha mikataba ya kutunyonya watanzania na kutuibia raslimali zetu lowassa ndiye alipiga kula ya ndio peke yake bungeni rais alikua wapi????, Je neno utanzania kwanza hawakulifikiria hao wabunge wa ccm wakati wanapiga kula ya NDIOOO kupitisha mikataba ya kinyonyaji, na kama...
  12. jimmycarter

    Magufuli "Nchale!" - Usiteme, Usimeze wala Usimumunye!

    Lisu wakati anawashauri bunge kabla hamjasign hiyo mikataba yenu ya kinyonyaji mulimwita mchochezi na kumzomea na kwa ubabe mkamuweka rumande. Acha na hiyo ya kumuweka rumande kisa kawakosea, juzi hapa mkaleta fitina na figisu figisu ili asiwe raisi wa TLS. Sasa hivi maji yamewafikia shingoni...
  13. jimmycarter

    Tutailipa ACACIA, Ila tuing'oe CCM kwanza

    Hapa lengo ni kupata mpinzani atakaye leta chachu za maandeleo ya taifa letu,na siku zote mpinzani mzuri ni yule anayekujua nje na ndani. Maana yangu ni hivi hakuna mpinzani mzuri na atakaye tela changamoto za kimaendeleo kama CCM, hiki chama kinabidi kisivunjike bali inabidi kiwe chama cha...
  14. jimmycarter

    Tutailipa ACACIA, Ila tuing'oe CCM kwanza

    Ukifuatilia historia ya kesi kama hizi, ni kesi gani tulisha wai shinda? Lengo la mtoa hoja sio kushindwa ama kushinda kesi lengo ni jinsi gani ya kuepekua kuwa na makesi kama haya uko mbeleni. Na njia ni moja tu kuondoa wapitisha mikataba feki ambao leo hii yanajiona hero kwa kuzuia hivi...
Back
Top Bottom