jimmycarter
Member
- Mar 24, 2017
- 34
- 46
Busara ya nini kwa kampuni ambayo ni feki?,Mihemko kwenye ubora wake.
Yaani huyu ni wa ajabu hata aliyekabidhiwa hiyo ripot hakutoa hayo maamuzi.
Jamani busara itumike kwani sisi wenyewe ndio tuliojiibia
Wakati wanatuibia na kuingia nchi kinyume na sheria wenyewe walitumia busara?????
Bro, ssm wameingia nkenge wenyewe kusema kampuni ni feki wakati hiyo kampuni ssm mliileta wenyewe na mkasaini mikataba na sheria na hao wezi, sasa iweje jana mtuambie kampuni ni feki haitambuliki kisheria!!!!?
Ngoja muone faida za kuongea uongo ili mpate kiki.