Recent content by Jimjuls

  1. Jimjuls

    Naombeni msaada kwenye hili

    Tumia dawa ya Mida 200SL kutoka ya Kampuni Osho Chemical Industries Ltd yenye active ingredient Imidacloprid 200g/l
  2. Jimjuls

    Mnaoagiza magari nje mnapata wapi dola?

    Unaweza kupata dola huku kitaa kwa ''black market'':)
  3. Jimjuls

    Mtandao wa tiGO waleta huduma ya internet fiber

    Safi. Na Arusha mtaitambulisha lini?
  4. Jimjuls

    Masharti mapya bima afya yaanza

    'No longer at ease''
  5. Jimjuls

    An Open Letter to President Dr. Samia Suluhu: Proposal for the Establishment of a High Education Graduates Bank (HEGB)

    Hahah. Na mimi nimesoma Molecular Biology wanipe nifungue maabara.:)
  6. Jimjuls

    An Open Letter to President Dr. Samia Suluhu: Proposal for the Establishment of a High Education Graduates Bank (HEGB)

    Ni wazo zuri ila social credibilty ya sisi watanzania ni ndogo sana. Just imagine watu waliwahi kukopeshwa kutoka BRANCH App, Mshiko App lakini kurejesha ikawa ni shida hadi ikafikia watu hawapokei simu. Kwa sasa tuanze au tuendelee kukopeshana kupitia vikundi vya marafiki tuliowahi kusoma /...
  7. Jimjuls

    Makao makuu ya NALA kujengwa Kenya, je Tanzania nani katuloga?

    Digital Tech in Kenya ina advancement kubwa kuliko ya hapa kwetu Tanzania ndio maana Google na wao wana set basement yao pale Kenya.
  8. Jimjuls

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Tukutane kesho Jumanne tarehe 07/03/2023 Twitter Spaces.
  9. Jimjuls

    Kwanini CCM hawahangaiki kabisa na Katiba Mpya?

    Aliwahi kusema mtu mmoja kuwa ''Katiba Mpya haitawatoa CCM madarakani wale haitaiingiza upinzani madarakani''. Katiba mpya itatoka kwa mataka ya sisi wananchi wenyewe.
  10. Jimjuls

    Dondosha mstari wowote wa Biblia unaoupenda leo ni Ijumaa

    Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua. (Waebrani1 13:2)
  11. Jimjuls

    Videoder inafuta files

    Halo, Videoder version 14.4.2 kila nikijaribu kuifungua inaniambia " Cannot install...as you need working internet for the first time". Msaada hapa.
  12. Jimjuls

    Videoder inafuta files

    Safi. Hii option imekubali na files nimeziona.
  13. Jimjuls

    Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Samsung: Storage (expandable) High battery capacity User friendly ( can install apps via Playstore eg Dobi Fasta for Android users)
Back
Top Bottom