Recent content by JikeDume

  1. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

    vueni magwanda sasa mkishindwa kuvua magwanda, msituulize kuvua magamba , mmewaogopa madiwani na shibuda leo mlete utumbo wenu hapa? leteni hoja magwanda, acheni propoganda, tuambeni kwa nini mnakuwa wepesi wa kuropoka kuliko kuchukua hatua, maongo makubwa hamuwezi kutwaa nchi maupupu tupu. eti...
  2. J

    JamiiForums Tanzania The Political Economy of the investment climate in Tanzania

    uliambiwa wapi kuwa jf ndiyo inayoruhusu nani awe rais...? acha upopo wewe au na wewe unataka uonekane umeanzisha thread?
  3. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

    msitetee ujinga rejia hua anakurupuka na kuweka matukio ya kamati kuu, msitetee ujinga wa viongozi hao kuropoka sana kuwa watawafukuza shibuda na madiwani, leo wamekaa na wamepima upepo wamegundua watajikaanga wenyewe ndio maana wamenyuti, nilisubiri nikijuahakuna kipya hao magwanda ni bure...
  4. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

    naomba ufafanuzi kuhusu posho walizozikataa wazee wa magwanda, mbona zinaendelea kuzama kwenye account zao tu na hatuoni kelele tena? cheza na wanafiki wewe, au kama hujui wanapokea posho kaa kimya! siku magamba watawalipua magwanda utatafuta chaka la kujificha
  5. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

    kama hyo ilikua ilani ya cdm, kwa nini zito alikua anawakilisha kama hoja yake? akawapa kazi ngumu akina mbowe kutangaza kuwa ni mpango wa cdm sio ya mtu mmoja, naona sasa cdm wanazidiwa na power strugle endeeni kumalizana tu ccm hamitoi kwa style hii
  6. J

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa atarudi Bungeni? Sasa Shibuda basi

    duh!!!!!!!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Lissu amlima barua Shibuda

    siku ukiniona nakuja kuchukua kadi magwanda uniue she..zi kabisa.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Zitto: Sijengwi na Kikwete, najijenga mwenyewe

    wewe ni kabila gani, na viti maalum utagombea au utasubiri mbowe afanye mambo yake? mwanamke mwenzangu mjinga kama wewe ni aibu kabisa
  9. J

    JamiiForums Tanzania Zitto: Sijengwi na Kikwete, najijenga mwenyewe

    kimeme tupu
  10. J

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa 2015, CHADEMA, CCM hali ya hewa si shwari

    umbea tu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Lissu amlima barua Shibuda

    1. Mzee Slaa anataka jimbo ili apate ahueni ya maisha na posho, hivyo mbowe atahakikisha wanamwondoa ili mzee slaa agombee. 2. Mbowe anajua huyu jamaa ni kikwazo sana kwa mwaka wa uchaguzi wa chama kwani na yeye anautaka au ataweza kushiriki kummaliza mbowe na mtandao wake. 3. Shibuda ni mbishi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Kikwete na Rais wa Sudani ya Kusini

    kwani wewe mrema kipara..... huwezi kuishi bila majungu? jk anajenga zitto je unauhakika nausemalo?inamaana kiongozi wa nchi ni adui yenu kwa sababu ya makelel yenu? au ndio kazi yenu cdm kupigania madaraka tu, na mbona huyo mbowe hajarudisha gari na posho hawajaandikabarua ya kuzikataa, watu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 Haya ya Dk Slaa kuchukua mikoba ni kweli?

    heheheheeeeeee huyo ndiye rais wenu eti anakiu ya posho na anaviza kajimbo kokote ajitose hahahahaaaaaaaaaa!!!!! na nyie vueni gamba tuone, madiwani na huyo shubuda
  14. J

    JamiiForums Tanzania KWAKO JK a.k.a MJOMBA! SOMA USHAIRI HUU ILI TUONE UTAAMUA NINI!!!

    du!!!!! nyakarungu umenifanya niamini unaakili sana haya kaka endelea na harakati zako, ila samahani naweza kujua uko wapi sasa?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Barua: Zitto akataa posho za vikao

    kwa hiyo mbowe alitaka zitto aache cdm hili suala ili mbowe yeye aonekane ndiye kichwa safi zito kwa kuwazidi ujanja kumbe ulijua ni usanii tu ungefanyika kumbe hata gari hajarudisha? mbowe jibu harka hili jambo ninajua ID yako ongea haraka na watu watakushangaa sana upuuzi huu sio wa...
Back
Top Bottom