Recent content by Jiff

  1. Jiff

    Kile kinachofanywa na watoa mapepo ni cha kutengenezwa

    Mshana, Sijajua kusudi la Bandiko lako, kwasababu linamwacha msomaji katika mning'inio, nikiwa na maana kwamba,kama kusudi la bandiko lilikuwa kuwahabarisha wasomaji basi kwasababu bandiko mwisho linaacha machaguo, naonelea ungewapa mbadala wasomaji wajue nini chakufanya au kuwagundua hawa...
  2. Jiff

    Baba mwenye nyumba kutembea na beki tatu ni haki yake

    Mkuu...haya unayoyasema na kutaka kuaminisha watu ukirefer Biblia mimi napingana nayo, kwa sababu yanaathari.. hata Ibrahim mwenyewe alikiingiza kizazi chake kwenye adha kubwa mno ambayo mpaka sasa bado iko, Ugomvi wa mataifa ya Kiarabu na Kiyahudi Tatizo hili lililetwa na Ibrahim kwa Kushindwa...
  3. Jiff

    Hii ndoa inaanza kuwa ngumu kwangu, nawaza kufanya hivi

    Mkuu Mimi kwanza nikupongeze kwa kuyatambua mapungufu ya mwenzi wako, Pili, Ingawa tayari yaonekana ushaamua nini chakufanya, ila uamuzi huo utavuruga ndoa yako kabisa na ndoa ikishavurugika amani pia itatoweka, yakupasa uwe makini na maamuzi ambayo utayafanya hakikisha kwamba yatakupa wewe...
  4. Jiff

    Msaada wa Imani

    He could be thirsty because He was fully Human but He could walk on Water Because He was Fully God Know Jesus Christ Jesus came to earth to do the Father’s will, but He also came to represent God so that we would know what it is like to have God with us. In Colossians, we read, “He (Jesus) is...
  5. Jiff

    Israel imepokea ndege za kijeshi kutoka USA

    Mkuu Naona unamchagulia Mungu namna ya Kuuendesha ulimwengu, najua kama utakuwa nimsomaji mzuri wa Biblia kinachoendelea mashariki ya kati hakikuanza leo, utofauti ni advancement of Technology na Mawasiliano kwamba waweza pata in a matter of second what happened in Syria Via CNN,BBC etc but enzi...
  6. Jiff

    Who created ''Nothingness''? and before Nothingness, what was there?

    Kuna Facts kwenye Post hii nimezinote: 1.kwenye Vacuum kwa macho wote tunajua ni kutupu lakini Ions exist in there 2.Ions zinajitengeneza na kupotea haraka 3.Good news ni Mwamba, Ions can be detected Is somebody seeing something on those facts above there????
  7. Jiff

    Bibi Titi Mohammed: Historia, harakati na wasifu wake

    Mohamed Said kwema? Na vitabu vyako vya patikana bookshop gan?
  8. Jiff

    Simulizi za Kusisimua: Nyerere alipoingiwa huruma Mwana-TANU Mwenzake kukosa Nauli...

    Kaka asante kwa Reply nzuri juu ya bandiko hapo juu, na mimi niseme hivi, mleta bandiko ameanza vizuri sana kwa kuelezea namna mwasisi wa taifa hili alivyokuwa na upeo mpana na wa mbele sana katika kupambanua mambo, ubinafsi haukuwa sehemu yake, upendeleo ulikuwepo na kuwatanguliza wengine...
  9. Jiff

    Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

    Kwema kaka! mshana jr umedokeza hapo kwenye bandiko kuwa, kinaweza saidia watoto hasa walizi...unaweza eleza kwa undani kidogo? na namna ambavyo kinaweza fanyika msaada na Tiba. Nawasilisha
  10. Jiff

    Rais Magufuli, Mafuru apelekwe mahakamani sio kupangiwa kazi nyingine

    Mkuu Mimi napingana na wewe kwenye Swala Moja, Hili la FBME Bank Ltd, hili umepotosha ukimhusisha Mafuru nalo...BOT Walimuapoint Mafuru kama Statutory Manager wa FBME Bank ambae mpaka sasa bado anaendelea kushikilia nafasi hiyo, baada ya Saga(la FBME) lililopo kutokea, mafuru aliitwa Simply...
  11. Jiff

    Atheists tulionekana wa ajabu sana!

    There is no great delusion as great as Atheism Ideology, you claim to be free but your having a very complex stronghold in your thinking that are not easily breakable by mere theology, you need Holy Brushing
  12. Jiff

    Atheists tulionekana wa ajabu sana!

    Sijajua misingi ya mafundisho ya hawa jamaa mkuu, sikuzote wanasema wabishane kwa fact...hawaelezi watu nini hasa wanachotakiwa waamini, kazi yao ni kuwaambia watu hakuna Mungu lakin hawasemi na kutoa mbadala elekezi wakuwafanya watu wawe na euelekeo flani ambao wanakusudia, wanaacha watu in...
  13. Jiff

    Atheists tulionekana wa ajabu sana!

    BigBros...umeongea ukweli mkavu, ambao hawa Atheists wanajaribu kuukataa, they are not free thinkers as they claim to be.
Back
Top Bottom