Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,628
- 77,875
Kabisa kabisa na ndiyo ninasema kwa levo yao ya maendeleo unadhani dini ime-play any role?Hizo nchi za Scandinavia zote zilishawahi kutawaliwa.
Kabisa kabisa na ndiyo ninasema kwa levo yao ya maendeleo unadhani dini ime-play any role?Hizo nchi za Scandinavia zote zilishawahi kutawaliwa.
Kwan uwongo sasa??Kwamba Mungu aliletwa Africa kwa mashua?😀😀😀😀😀
Babu zetu hawakubudu huyo munguMungu hakuletwa kama usemavyo, Mungu alikuwepo katika kila jamii, lugha, jamaa, taifa na dunia kwa ujumla.
Unachojaribu kueleza ni kuwa watu walichanganya utamaduni na ubinafsi katika Kumtafuta na kumuabudu huyu Mungu.
Pia jamii moja kutaka kujitofautisha na jamii nyingi kulingana na mazingira na maumbile ndivyo vilivyopelekea Mungu aonekane kagawanyika.
Ukweli ni kwamba Mungu ni yule wa wote mwenye uweza japokuwa jamii zimemmilikisha Fulani zimemmilikisha na baadhi ya mataifa kumtaifisha huku baadhi ya watu kumbinafsisha. Jambo hili limefanya jamii nyingi kuchanganyikiwa.
Mfano wa watu waliojaribu kumbinafsisha Mungu ni pamoja na Waisrael ambao kupitia kitabu cha historia yao ambacho wengi hukiita kitabu kitakatifu "BIBLIA". Husema;
Mungu wa Ibrahimu, Isaka na yako, huku ni kumbinafsisha Mungu wa wote. Na ikiwa Mungu angekuwa wa Mtu mmoja mmoja basi ni wazi asingeweza kuwa wa Ulimwengu mzima.
Vitabu vya Biblia hasa Agano la kale, viliandikwa kiokombozi zaidi. Ukombozi pekee uliokusudiwa ulikuwa ni ukombozi wa taifa la Israel katika dunia hii. Hata alieandika vitabu vya mwanzoni kabisa alikuwa ni Mwanamapinduzi au Mkombozi wa awali wa taifa hilo. Mwanamapinduzi huyo na mwanaharakati ambaye aliitwa Nabii ili kwa malengo mahususi ndiye aliyeanzisha Vuguvugu kwa taifa hili ambalo lipo katika msuguano mpaka leo.
Nabii Musa mwanamapinduzi ndiye aliyeandika vitabu vitano vya awali katika biblia, aliandika vitabu hivyo kwa mtindo wa ubinafsi kwa taifa lake.
Nasema kwa Ubinafsi nikiwa namaanisha kabisa kutokana na baadhi ya visa vilivyomo katika vitabu vyake.
Aidha kuna kisa cha Yakobo na Esau ambacho kinaonyesha dhahiri lengo la mwandishi wa vitabu hivyo. Yakobo ambaye ndiye Israel aliutwaa ukubwa kwa Esau ambaye ni Baba wa waEdomu. Kisa hicho cha kusisimua kinaonyesha lengo kamili la mwandishi ambalo ni ubinafsi kwani Yakobo hakuwa na khaki yoyote ya kupata baraka ama kurithi katika familia ya Isaka. Musa akiwa mwanzilishi wa Kitabu cha Biblia kwa maandishi yake ndiye mtu aliyeleta mgogoro wa Uwapo wa Mungu.
Mfano wa Pili ni Wa Isaka na Ishimael.
Ubinafsi wa mwandishi katika kutetea asili ya mababu yake aliweza kuudhihirisha. Kisheria Mtoto wa kwanza hasa wakiume ndie anayetakiwa kuwa mrithi wa Mali.
Mtunzi Musa alijua kabisa Ishmael sio wa Taifa lake hivyo kumtukuza lilikuwa ni jambo baya sana kwake. Ukisoma kwa makini aya za kisa kile unaona jinsi Mungu alivyokuwa upande wa Ishmael.
Kama mtoto wa nje yaani wa mtumwa hajri hawezi kuwa Mrithi ilikuwaje kwa Yakobo na Wake zake wanne ambao kila mmoja alipata gawio katika nchi ya Kanani.
Biblia inasema kuwa Ibrahimu atabarikiwa na kuwa taifa kubwa lakini mtoto wake mmoja ambaye ni Ishmael ambaye ni wakwanza anafichwa kabisa pamoja na watoto zake wengine kwa mkewe Ketura. Watoto hawa wa ibrahimu Historia yao inawekwa kapuni na mwandishi Wa kitabu cha Mwanzo katika Biblia. Huku watoto wa Yakobo(Israel) wakiibuka kidedea katika historia. Moja ya sababu kubwa ni kuwa Mwandishi Musa alitoka katika moja ya makabila ya Israel hivyo huenda aliandika kwa ubinafsi au kwa kutojua ama kufuatilia vizuri historia ya vizazi vingine vya Ibrahimu.
Jambo jingine ambalo Musa alililenga si kumtangaza Mungu kama baadhi ya watu wadhaniavyo. Musa alishindwa kuandika mambo ya Msingi ikiwemo Asili ya mwanadamu. Ameelezea juu juu chimbuko la mwanadamu kana kwamba hakuona umuhimu wake. Pengine tusimlaumu kwa kutoelezea chimbuko lake kwani huenda hata yeye hakujua au hakuwa na taarifa muhimu zenye manufaa.
Musa alishindwa kuelezea Kwa kivipi Watoto Wa Adamu walivyopata wake zao.
Pia watu wengine walitoka wapi ambao Kaini aliogopa wasije wakamuua.
Mwandishi huyu pia alitumia lugha ambayo kimsingi huweza kumletea utata mtu mwenye akili ndogo au kubwa. Kwa mfano kitendo cha kusema Nyoka akamdanganya Hawa bado kinautelezi katika fikra za watu wengi.
Iweje nyoka amdanganye hawa wakati hakupewa uwezo kama binadamu aliye mfano wa Mungu.
Lugha ya mafumbo ya kitabu cha Mwanzo huwagawa watu katika makundi mbalimbali. Wapo wanaoachwa solemba kwa akili ndogo na wapo wanaotoa tafsiri kulingana nauwezo mkubwa wa akili zao.
Kwa mfano ikiwa wapo wanaofikiria kuwa nyoka alikuwa ni Shetani huku wakijiona wapo sawa basi hata wale wanaoona Tunda lilikuwa ni uchi au sex huenda nao wakawa sawa.
Musa hamtaji Shetani Mara kwa Mara jambo ambalo linazua utata. Mara nyingi hutumia watu Kama wachawi, waganga, wanajimu n.k. Jambo ambalo hakuna anayeweza kuthibitisha kuwa huu ni Uchawi au ni muujiza. Na upi ni Mungu na upi ni washetani. Kwa bahati mbaya wote husema wanamtumia Mungu. Hivyo kila upande humwona mwenzake ni Mchawi atumiwaye na Shetani.
Musa alijikita kuelezea Historia ya taifa lake na kusahau historia ya mwanadamu. Ndio maana naweza kusema Musa alisahau iwe kwa kujua au laa kusimulia habari muhimu za asili ya mwanadamu.
Dunia ipo hivi Leo kwasababu ya Musa, japokuwa kuna Imani nyingi lakini nyingi zinaamini kulikuwa na Adamu na Hawa.
Historia ya mwanadamu ikiwekwa sawa ndio ukweli kuhusu Mungu kuwepo haitakuwa na Mashaka.
Mungu yupo sema waandishi ndio huongozwa na athari mbalimbali katika kumwelezea hivyo hujikuta wakiacha maswali mengi kwa kuacha kusimulia baadhi ya matukio ya Msingi.
Musa alikuwa na athari ya elimu za kimisri hivyo lazima umakini uwepo katika kusoma habari zake na lengo lake na nafasi yake.
Hawata kuelewa hawa watu...maana wamegoma kuelewa wanacho kuamin wameamua kukubaliNdio ukweli wenyewe.... Mungu ana uwezo mkubwa mkubwa sana asingechoose njia hii ya kumjua yeye. This one is not the best approach kuwaweka wazi viumbe, kuna watu use religion belief kama njia ya kurubuni watu wasio na hatia. Wanamiliki mali nyingi kutokana na kubrainwash innocent people...they demand vitu vya thamani kwa kuwatisha watu hawhatia
Mungu alikuwa na uwezo wa kutufikishia meseji kupitia ndoto...kupitia malaika wake its very simple. Hivi kuna anabisha suala la kwenda chooni?? iko obvious, why Mungu mpka mtumie mtu mwingine kutufikishia meseji alafu mtu huyo aache watu wengine wasimuliane... hii ni moja ya sayansi yenye udhaifu. How do u know the scriptures has not changed... kwamba hakuna mtu aliyeweka interest zake ndani yake?? Uislamu unasema kila binadamu anatembea na malaika wawili.. mmoja anaandika maovu yako na mwengine anaandika mema yako... embu jiulize mbona teknolojia hii ya Mungu inapinga na uwezo wake... kwa maana hiyo Mungu ana wasaidizi wake, how come Mungu asaidiwe kuandikiwa zambi na mema za waja wake / viumbe vyake??? Alafu anakuja kupewa a compiled report kuhusu mienendo yetu au mnampa Mungu ukurugenzi au?... yaani haina tofauti na mtu alieajiri walinzi wamlindie mali zake. Why Mungu tunamvisha ubinadamu, awe na matendo ya kibinadamu how???
Akili ya uelewa wako ndio imekupeleka huko...Kwa hiyo uko tayari tutembee UCHI dunia nzima na tuabudu mababu zetu chini ya MITI? Hiyo ndio AKILI yako kweli???
Huyo UHURU JR anakazana watu wadhibishe kuto kuwepo kwa MUNGU kwan ATHEIST walianza anza tuu kusema kuwa mungu hayupo??Ilikuelewa kitu inabidi tutumie milango mitano ya fahamu.....sasa Mungu hafit hapo.
Kuwa na ELIMU sio kiashiria cha kuto au kuwa na maendeleo..Wewe jitoe tu ufahamu. Wapo watu wasio na elimu but wana maendeleo makubwa kutokana na msaada wa Mungu. Vipi wale wanaoiona miujiza ya Mungu live, hiyo miujiza inatoka wapi?
Ndio hivyo Mkuu, kama jamii ya waafrika ingekuwa na akili na nguvu, ingeenda kutawala Ulaya na Asia.Huko ingepeleka tamaduni za kiafrika kama lugha, na Dini.Lakini kutokana na udhaifu wa mwaafrika, amelazimishwa kufuata tamaduni za waarabu na wazungu ikiwemo kuabudu hiyo mizimu yao.Kwan uwongo sasa??
Mababu zetu walikuwa wanaabudu chini miti au makabulini au mapangoni etc
Hao wajanja janja wazungu na.waarabu wamekuja baadae na.vitabu vyao
Wamechapa na kupiga na.kuuwa sana babu zetu kisa kuabudu MUNGU wao
Nw mambo kibao yapo waz.but watu hawaelewi kaz kweli kweli
Umenena vema kabisa, Theist ndo wanatakiwa wathibitishe uwepo wa Mungu na sii Atheist wasibitishe kutokuwepo kwa Mungu.Huyo UHURU JR anakazana watu wadhibishe kuto kuwepo kwa MUNGU kwan ATHEIST walianza anza tuu kusema kuwa mungu hayupo??
Waliaminishwa bila uelewa now wamekuwa wanahoji, hata historia za kwenye vitabu(bible na Quran) watu walihoji,
Mtu umezaliwa na kukuta hizi dini,ukiwa mtoto ukalamiswa kwenda kanisan au msikitini
Sasa mtu umekuwa unaupeo wa kufahamu na kuelewa huwez kuhoji??
Uliambiwa mungu wakat hauna upeo sasa unapeo wa kuomba udhibisho wa uwepo wa hicho kiumbe alafu tena ww dhibisha kama hakipo huku uliambiwa kipo si ujinga huo..???
Sifa na uwezo nao ambiwa kuhusu MUNGU haiendani na hali halisi ukihoji wanaona unakufuru...wakati matendo halisi ya hapa duniani yanatia shaka kabisa uwepo wa huyo mtu mwenye NGUVU,UPENDO NA AJUAE KILA KITU ya jana ,leo ,kesho na hata milele
Uhuru.jr
Atoe udhibisho au toa maelezo yasio na shaka maaana kama kuamin tunaamini vingi
Ila Mungu kajazwa sifa na uwezo ambao unaleta ukakasi kwamba yupo au hayupo??
Wao ndio wadhibishe uwepo wa MUNGU maana wao ndio walio anza kutueleza kama yupo
Hao wanaoiona miujiza wao waendelee tu... hata uchawi nao ni muujiza.Wewe jitoe tu ufahamu. Wapo watu wasio na elimu but wana maendeleo makubwa kutokana na msaada wa Mungu. Vipi wale wanaoiona miujiza ya Mungu live, hiyo miujiza inatoka wapi?
Tell people there's an invisible man in the sky who created the universe, and vast majority will believe you. Tell them the paint is wet, and they have to touch it to be sure.Umenena vema kabisa, Theist ndo wanatakiwa wathibitishe uwepo wa Mungu na sii Atheist wasibitishe kutokuwepo kwa Mungu.
Mfano, mimi nikija kwako nikakwambia nimegundua Chemical Element mpya inayoitwa Tanzanium, halafu ukataka uthibitisho wa uwepo wa ile Element, mimi ndio natakiwa nithibitishe uwepo wa hiyo Element na siyo nikuambie wewe eti thibitisha kwamba Tanzanium haipo.
Hawa waigaji tu. Hakuna lolote. Wanatazama tv na michezo ya kizungu kisha wanaiga bila ya kuelewa chochote.
Maisha ya kila mtu yanaanzia unapozaliwa na kuishia unapokufa. Anything beyond that is non of ur business...anything beyond that can be a lie.... anything u can not comprehend u leave them. Just live as you are made of... God is imaginary believe in God represent delusion.Sijajua misingi ya mafundisho ya hawa jamaa mkuu, sikuzote wanasema wabishane kwa fact...hawaelezi watu nini hasa wanachotakiwa waamini, kazi yao ni kuwaambia watu hakuna Mungu lakin hawasemi na kutoa mbadala elekezi wakuwafanya watu wawe na euelekeo flani ambao wanakusudia, wanaacha watu in suspense watumainie science na akili zisizo na tumaini, manufaa na upotevu mtupu, Minataka niwaulize tumaini lao ni nini?
kama mwanadamu ni self existing na mtatuzi na responsible kwa kila matatizo yanayo mkabili, tuseme sawa ana uwezo huo akishayatatua na kuyakabili mazingira yake alafu inakuwaje?
Bado kuna zaidi ya kitu ambacho mwanadamu yuko subjected to....ambacho ni zaidi ya argument ambazo Atheist wanajaribu kuibua, kunamaswali na fact zaidi ya mnazojiuliza ambazo bado hamjajiuliza
Understanding the RationalizationsProof #1 - Statistically analyze prayer
The fact is, God never answers any prayers. The entire idea that "God answers prayers" is an illusion created by human imagination.
How do we know that "answered prayers" are illusions? We simply perform scientific experiments. We ask a group of believers to pray for something and then we watch what happens. What we find, whenever we test the efficacy of prayer scientifically, is that prayer has zero effect:
It does not matter who prays.
It does not matter if we pray to God, Allah, Vishnu, Zeus, Ra or any other human god.
It does not matter what we pray about.
If we perform scientific, double-blind tests on prayer, and if the prayers involve something concrete and measurable (for example, healing people with cancer), we know that there is zero effect from prayer. Every single "answered prayer" is nothing more than a coincidence. Both scientific experiments and your everyday observations of the world show this to be the case every single time.
For example, this article says:
One of the most scientifically rigorous studies yet, published earlier this month, found that the prayers of a distant congregation did not reduce the major complications or death rate in patients hospitalized for heart treatments.
And:
A review of 17 past studies of ''distant healing," published in 2003 by a British researcher, found no significant effect for prayer or other healing methods.
This article from March, 2006 discusses the fact that the same conclusion was reached in another study:
In the largest study of its kind, researchers found that having people pray for heart bypass surgery patients had no effect on their recovery. In fact, patients who knew they were being prayed for had a slightly higher rate of complications.
In this article we find an amazing quote where theologians and religious leaders declare that prayer has no actual effect:
Religious leaders will breathe a sigh of relief at the news that so-called intercessory prayer is medically ineffective. In a large and much touted scientific study, one group of patients was told that strangers would pray for them, a second group was told strangers might or might not pray for them, and a third group was not prayed for at all. The $2.4 million study found that the strangers' prayers did not help patients' recovery.
This is a remarkable example of "positive spin" -- religious leaders are "breathing a sigh of relief" because prayer has been shown to be meaningless. The fact that prayer is a total waste of time does not matter to them. It does not matter that all of Jesus' promises about prayer in the Bible have been proven completely false.
A peer-reviewed scientific study published in 2001 did indicate that prayer works. According to this article:
"On October 2, 2001, the New York Times reported that researchers at prestigious Columbia University Medical Center in New York had discovered something quite extraordinary. Using virtually foolproof scientific methods the researchers had demonstrated that infertile women who were prayed for by Christian prayer groups became pregnant twice as often as those who did not have people praying for them. The study was published in the Journal of Reproductive Medicine. Even the researchers were shocked. The study's results could only be described as miraculous."
This study was later proven to be completely fraudulent. However, everyone who cut out the original article in the NYTimes and posted it on their refrigerators still has that article as "proof" that prayer works.
This article entitled A prayer before dying uncovers another case where a "scientific study" of prayer is unmasked as fraudulent.
It's not just prayer that is ineffective. Not even a hopeful attitude helps. According to this article:
A positive attitude does not improve the chances of surviving cancer and doctors who encourage patients to keep up hope may be burdening them, according to the results of research released Monday.
The dictionary defines the word "superstition" in this way:
An irrational belief that an object, action, or circumstance not logically related to a course of events influences its outcome. [ref]
The belief in prayer is a superstition. It has been proven scientifically over and over again. When a prayer appears to be answered, it is a coincidence. Quite simply, prayer has absolutely no effect on the outcome of any event. The "power of prayer" is actually "the power of coincidence."
Therefore, as in Proof #1, one of two things must be happening:
God is imaginary.
God does exist, but he never answers prayers. Unfortunately, God is defined by the Bible to be a prayer-answering being. The contradiction between the reality of God and the definition of God proves that God is imaginary.
Prayer does not work because God is completely imaginary
Ofcourse Yes.Kabisa kabisa na ndiyo ninasema kwa levo yao ya maendeleo unadhani dini ime-play any role?
Dini yangu imetoka kwa hao hao jamaa ni kina nani??Akili ya uelewa wako ndio imekupeleka huko...
Nilikuwa na jibu hoja yako ya kusema atheist na uvaa milegezo kuwa wanaiga kwa wazungu
But ukashindwa kueleza kuwa hata dini yako unayo abudu imetok kwao hao hao jamaaa
Sasa km ww unadhan nmeconclud kuwa kuvaa uchi au mlegezo n sahihi basi nitakupuuza hivyohivyo
Tuwashakuru kwa elimu zao na utandawazi wa mitandao
Ni swala la sisi kuamka
Mungu hayupo I swear
Taja unabii mmoja uliothibitishwa navkungumtu aliyesoma biblia vzr akamaliza anAjua kwann Mungu yupo ila hawa wanafundishwa meditation wao wanaamini ktk mungu jua na ndo biblia iliwatabiri vzr sn na tulionywa kabisa mapema...Mungu alikua wise enough kutupa baadhi ya vitabu vya unabii wa siku za mwisho yaan utabiri wa miaka zaid ya 1000mbele huko akijua tu watakuja watu ambao watajifanya watabe lkn kuonyesha mimi kiboko nakutabiria ya mbeleni miaka mingi sana mbele lkn wao watashindwa kujitabiriwa kesho yao tu ipoje?haya ya kuabudu miungu yapo toka zmn na mara kadhaa Mungu alionya...kushindwa kusoma biblia vzr kumeleta shida kubwa watu wanaangamia kwakukosa maarifa leo hii mtu hajui ht mafungu kumi kwenye biblia ila anafundishwa kupinga biblia ili kupokea imani nyingine simple coz hakuijua vzr lzm haone chenga chenga....yataibuka mengi sn ila mafunzo yote mtapinga ila pale kwenye kitu kinaitwa unabii ndo Mungu anaprove yupo..