Atheists tulionekana wa ajabu sana!

There is only one point which I real don't understand and I will not understand.... ukimkuta mkristo utamuona anatetea Dini yake umuelezi kitu na huyu amemezeshwa kutambua kwamba bible iko sahihi na si quran, ukienda upande wa pili nao utamkuta muislamu umuelezi kitu kuhusu dini yake, na yeye amemezeshwa the same way as christians hamuelezi kitu kuhusu quran na yeye atakuambia wale makafiri wanaenda motoni.... embu jiulize. How did christian choose bible over quran if the quran is the truth and why muslims choose quran instead of bible if bible is the truth.... when I think of this I always come with a conclusion that neither muslims not christians know the truth... but they have inherited what they believe from their parents. The bad thing ni kwamba dini inafundishwa ukiwa na umri mdogo mpaka ukija kuwa matured ni ngumu sana kuhoji ni ngumu sana kuelewa kwamba ulidanganywa.... u will always think ulichoambiwa ni sahihi na kitaendelea kuwa sahihi. U can not prove something happened long time ago just by reading scriptures.... how can u prove illogical arguments??? How can u prove God will use fire to punish us... and why i have to go to hell because i never pray, go to church or mosque, kama siwezi kusibitishiwa kuwepo kwa moto... why should everyone believe the existence of hell or paradise. ( je malengo ya kuishi duniani ni kuwaza imaginary things, kwamba usipoamini imaginary things unakufuru, how???) aje mtu akulazimishe uamini kwamba kuna maisha kwenye galaxies nyingine usipoamini umepotea....
Satan at work!
 
Mimi hata grup langu la chuo wananiona wa ajabu hasa pale ninapo wapinga live kuhusu huyo mungu.
Lkn kwasasa naona kuna baadhi wamebadilika na kuwa open mind.

Mwanzon unaonekana km jiti lililokosa adabu, lihuni lkn kadri unavyowatemea facts wakaanza kunielewaa.

Sasa tunaheshimiana na wengi kwasasa hawajishughulishi na mambo ya imani km zaman
Mkuu kiuhalisia hakuna hoja zenyekuweza kumfanya anayeamini mungu akaacha kuamini kwa hizo hoja,we chunguza hao unaosema wamekuelewa na linganisha na wewe utagundua ni kwanini wamekuelewa.

Na hakika hao wenzako na wewe kuna vitu mnafanana ambavyo ndiyo vinafanya hizi story za hakuna mungu kuwa na athari kwenu,we wachunguze hao watu waliyokuelewa utagundua kitu.

Ni sawa na kwenda kumshawishi mtu aliyefanyiwa uovu kufanya revenge tu,hata humu nishashuhudia mtu aliyekuwa akibisha na atheists na yeye kugeuka kuwa atheist.
 
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi, Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya Jf sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje .NakaribiSha mijadal zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu
Mi ukiweza kunithibitishia hizo sifa anazo pewa mungu kuwa hana basi nitakuona umefanya la maaana sana.

Nasubiri.
 
Naunga mkono hoja,....Mungu ni nadharia iliyoumbwa na fikra za watu,.....kwa maana nyingine, hapo mwanzo watu walimuumba Mungu.
Hebu jaribu kufikiri kiuhalisia kwa hivi sasa kama kweli suala la kwamba hakuna mungu lingekuwa si nadharia tu unadhani hadi sasa watu bado wangekuwa wanaendelea tu kuamini mungu?
 
Mi ukiweza kunithibitishia hizo sifa anazo pewa mungu kuwa hana basi nitakuona umefanya la maaana sana.

Nasubiri.
Sifa moja wapo ambayo hana ni hii ya "Muweza wa yote". Sasa jiulize kama yeye ni muweza wa yote mbona leo hii dunia inatapatapa wengine wanaangamia kwa mateso wengine wanafurahia maisha kwa nini asikomeshe tabu na matatizo? La hasha mimi nitasema basi huyo Mungu wenu ni Mbaguzi!
 
Cheki jamaa wanavoibiwa hahahahaha
 
Attachments

  • 1741888676137948.jpg
    1741888676137948.jpg
    32.3 KB · Views: 77
Yes hallelujah.....praise you BABA .....father of all creation...again I
say come father god......el sha di.....shalom
 
Hivi kwanini wengi wanaoamini uwepo wa Mungu wanaishia kutishia tu? Mara utasikia we amini tu! Then what?..Ukifuatilia sana dini unaweza kuwa chizi and from my observation hakuna dini ilio sahihi hata moja Duniani kwa sababu kama kungekua na dini sahihi basi wote tungekua na dini moja lakini kutokana na wengi kuendelea kumezeshana vitu ambavyo havipo ndo tunapata watu ambao hawawezi wakatupa empirical evidences za kwanini wao wapo kama walivyo.
Tusijazane Uoga
Hoja ipi ambayo unaweza kutumia kutetea suala la kwamba kungekuwepo dini ndiyo ingekuwa ya kweli?
 
Hebu jaribu kufikiri kiuhalisia kwa hivi sasa kama kweli suala la kwamba hakuna mungu lingekuwa si nadharia tu unadhani hadi sasa watu bado wangekuwa wanaendelea tu kuamini mungu?
Nadhani kikubwa hapa ni tafsiri sahihi tu huyo Mungu, swala la kuwepo au kutokuwepo litapata Jibu lake baada ya hilo jibu. Tuanzie hapa, tunaaamini juu ya uwepo wa nguvu kuu za utendaji zilizo juu yetu ? Tunaamini hizo nguvu zipo ?
 
There is only one point which I real don't understand and I will not understand.... ukimkuta mkristo utamuona anatetea Dini yake umuelezi kitu na huyu amemezeshwa kutambua kwamba bible iko sahihi na si quran, ukienda upande wa pili nao utamkuta muislamu umuelezi kitu kuhusu dini yake, na yeye amemezeshwa the same way as christians hamuelezi kitu kuhusu quran na yeye atakuambia wale makafiri wanaenda motoni.... embu jiulize. How did christian choose bible over quran if the quran is the truth and why muslims choose quran instead of bible if bible is the truth.... when I think of this I always come with a conclusion that neither muslims not christians know the truth... but they have inherited what they believe from their parents. The bad thing ni kwamba dini inafundishwa ukiwa na umri mdogo mpaka ukija kuwa matured ni ngumu sana kuhoji ni ngumu sana kuelewa kwamba ulidanganywa.... u will always think ulichoambiwa ni sahihi na kitaendelea kuwa sahihi. U can not prove something happened long time ago just by reading scriptures.... how can u prove illogical arguments??? How can u prove God will use fire to punish us... and why i have to go to hell because i never pray, go to church or mosque, kama siwezi kusibitishiwa kuwepo kwa moto... why should everyone believe the existence of hell or paradise. ( je malengo ya kuishi duniani ni kuwaza imaginary things, kwamba usipoamini imaginary things unakufuru, how???) aje mtu akulazimishe uamini kwamba kuna maisha kwenye galaxies nyingine usipoamini umepotea....
Kuna Atheists na Agnostics.

Je,unaweza kuniambia nani yupo sahihi hapo?
 
Sifa moja wapo ambayo hana ni hii ya "Muweza wa yote". Sasa jiulize kama yeye ni muweza wa yote mbona leo hii dunia inatapatapa wengine wanaangamia kwa mateso wengine wanafurahia maisha kwa nini asikomeshe tabu na matatizo? La hasha mimi nitasema basi huyo Mungu wenu ni Mbaguzi!
Ulichokifanya wewe si uthibitisho bali umeonesha doubts zako,hilo suala watu hubishana sana humu na ndiyo maana mie nataka uthibitisho na hisia za kwanini unafikiria hivyo.
 
Nadhani kikubwa hapa ni tafsiri sahihi tu huyo Mungu, swala la kuwepo au kutokuwepo litapata Jibu lake baada ya hilo jibu. Tuanzie hapa, tunaaamini juu ya uwepo wa nguvu kuu za utendaji zilizo juu yetu ? Tunaamini hizo nguvu zipo ?
Ndiyo.
 
Sifa moja wapo ambayo hana ni hii ya "Muweza wa yote". Sasa jiulize kama yeye ni muweza wa yote mbona leo hii dunia inatapatapa wengine wanaangamia kwa mateso wengine wanafurahia maisha kwa nini asikomeshe tabu na matatizo? La hasha mimi nitasema basi huyo Mungu wenu ni Mbaguzi!
Bora angekuwa mbaguzi halafu awepo,.....Mungu hayupo, hajawahi kuwepo na hatokuwepo.
 
Hebu jaribu kufikiri kiuhalisia kwa hivi sasa kama kweli suala la kwamba hakuna mungu lingekuwa si nadharia tu unadhani hadi sasa watu bado wangekuwa wanaendelea tu kuamini mungu?
Mungu siyo kitu halisia bali ni Idea wanayorithishana baadhi ya watu.
 
Ndivyo mnavyojibaragua na imani zenu, kwanza mnapingana each other.... mmepoteza uhalisia wa mambo husika. Sasa mnaabudu matakwa yenu.
Hawa watu ni wa ajabu mno, muislam akimuona mkristo anakula kitimoto anasema Satan at work,
Mkristo akimuona muislam anaoa wake wanne na kutukuza majini, anasema Satan at work,

Mkristo na Muislam wakimwona mtu asiyemwamini huyo Mungu wao, wote kwa pamoja wanasema Satan at work......Sasa kwanini Muumba wa vyote aliumba kitu haribifu kama Shetani?
 
Ulichokifanya wewe si uthibitisho bali umeonesha doubts zako,hilo suala watu hubishana sana humu na ndiyo maana mie nataka uthibitisho na hisia za kwanini unafikiria hivyo.
Kwasababu ana uwezo wa kufikiria hivyo.... asingefikiria hivyo asingeuliza au kujiuliza.
 
Unajua watanzania ni watu ambao tunatawaliwa kifikra na ulimwengu wa nchi zilizoendelea.

Hapo Awali Tanzania kulikuwa almost hakuna mashoga wala Lesbians lakini hivi sasa baada ya uzungu kutuingia mashoga na Lesbians wamekuwa wa kumwaga. Wasanii wetu walikuwa wanaimba nyimbo za kijamii na zenye kuhusiana na maisha yetu. Hivi sasa wasanii wanaimba nyimbo za kimagharibi na cultural traditional music is slowly fading away and replaced by what Westerners introduce into our heads. Hapo awali Vijana tulikuwa tukivaa nguo zetu vizuri na tukiongea kiswahili kilicho nyooka lakini hivi sasa vijana wanavaa suruali zinaanzia chini ya matako chupi nje na wakiongea wanabana sauti na kuslengisha kiswahili. Sasa hii naona munatuletea Ethisms na kujifanya nyinyi ndiyo mumesoma sana Science. Wacheni kutawaliwa kifikra na kuiga mambo ya wazungu.

Labda ni kuulize ni kinachokufanya usiamini Mungu?

BigBros...umeongea ukweli mkavu, ambao hawa Atheists wanajaribu kuukataa, they are not free thinkers as they claim to be.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom