Recent content by Jidundufila

  1. Jidundufila

    JamiiForums Tanzania Naaam, Star TV ndani ya DSTV - Channel 291

    Hatimae star tv imeanza kupatikana ndani ya Dstv chanel 291
  2. Jidundufila

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Magufuli: Wanaotaka kurudisha kadi za ccm waje mbele
  3. Jidundufila

    JamiiForums Tanzania Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

    Hivyo ndo harakati zilipoishia.
  4. Jidundufila

    JamiiForums Tanzania CCM Yaanza Rafu!, Yaandaa Zengwe Kuwapiga Panga Baadhi ya Wagombea!

    Mkuu sio god bali ni God
  5. Jidundufila

    JamiiForums Tanzania Najivunia kutoka jimbo linaloongozwa na mbunge wa upinzani

    Zanzinar vipi huko mbona mko kimya?
  6. Jidundufila

    JamiiForums Tanzania Najivunia kutoka jimbo linaloongozwa na mbunge wa upinzani

    Refer the heading.Binafsi nafarijika sana kuwa miongoni mwa wa Tz wanaotoka kwenye chama cha upinzani tz. Sijui we mwenzangu unasemaje?
  7. Jidundufila

    JamiiForums Tanzania Sabodo atoa 100 mil, baiskeli za walemavu, visima 10, ashangazwa na Mkapa

    Radio one habari ya saa mbili. Pia katoa eneo la kujengea ofisi Mwenge
  8. Jidundufila

    JamiiForums Tanzania Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

    Jamani malusinde tuwaachie wenyewe
  9. Jidundufila

    JamiiForums Tanzania Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

    wapo radio wametangaza vituo vitatu chadema wanaongoza katika vituo vyote hivyo kwa margin kubwa sana
  10. Jidundufila

    JamiiForums Tanzania TANGAZO: Kuhusu siku ya wajinga.

    Napenda kuwapa taarifa kuwa siku ya wajinga imekwisha saa nne asbh. Hivyo naomba tuendelee na utaratibu wetu wa kawaida.
  11. Jidundufila

    JamiiForums Tanzania IN PICTURES LIVE TOKA KARIMJEE - Buriani Dada Regia Mtema

    Asanteni sana wana habari wote hakika mmetuwakilisha vyema. Dada yetu apumzike kwa Amani
  12. Jidundufila

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

    kazi is there
  13. Jidundufila

    JamiiForums Tanzania Tuwaombee msamaha Kafulila na wajumbe wengine wajiunge CHADEMA

    Hii nimeipenda
  14. Jidundufila

    JamiiForums Tanzania Leo ndio leo VINEGA Vs CLOUDS

    Mabaga fresh, suma g, sogy dogy, zay b, sister p. Wote hawa walipotezewa na mafisadi wa mziki.
  15. Jidundufila

    JamiiForums Tanzania Leo ndio leo VINEGA Vs CLOUDS

    Habari zenu watanzania wa kweli. Jana nimewasikiliza vinega kupitia FNL kusema ukweli wamenigusa sana nusura nitoe chozi jinsi wasanii wa bongo wanavyodhulumiwa. Mi mwenzenu leo mapemaaa naenda kuwaunga mkono hawa ndugu ni kweli wanalenga kumwinua mtanzania nakusihi usikose twende ustawi wa...
Back
Top Bottom