Naaam, Star TV ndani ya DSTV - Channel 291

Naaam, Star TV ndani ya DSTV - Channel 291

hizi habari zipo humu zaidi hata 7 toka jana. Muwe mnapitia kabla ya kupost
 
Tulishaizoea na mwenekano wake usio mzuri focus imezidi hadi ilikuwa inaumiza macho wabadirishe camera zao
 
Ndugu hii nafikiri itakuwa imeanza leo hata ukifungua mtandao wao utaona list ya TV na Star TV ipo ndani "http://www.dstv.com/channels/" ni Channel namba 291 baada tu ya 290 ya TBC, hope hapo nimeeleweka wakuu!

upo ryt mkuu.n amie nimeiona muda huu.hongera star tv!!!!!!!!!!!!
 
Wakuwasubiri ni ITV tu wakiingia tumefunga kazi hao wengine, waingie wasiingie haina kwere!!
 
Back
Top Bottom