Recent content by JFKAMANDA

  1. JFKAMANDA

    Kiwango cha bei ya mahari kinategemeana na nini?

    Kwa Kabila Letu La Wamasai Mwanamke Mwenye Dhamani Kubwa Ni Mwanamke Ambaye Utampata Tayari Amezaa Akiwa Kwao. Namaanisha Kwamba Masaini Mahari Ya Mwanamke Mwenye Mtoto Au Watoto Mahari Yake Ni Kubwa Kuliko Msichana Bikra. Kwetu Tunazamini Watoto Kwa Sababu Ni Mali Bikra Haiongezi Chochote...
  2. JFKAMANDA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kamusi Si Google Sent using Jamii Forums mobile app
  3. JFKAMANDA

    Niulize Chochote Kuhusu Uchaguzi Mkuu Kenya.

    8/8/2017 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. JFKAMANDA

    Niulize Chochote Kuhusu Uchaguzi Mkuu Kenya.

    Siasa Za Kenya Na Tanzania Ni Tofauti Kiasi Kwa Vitu Nyingi. Siasa Za Bongo Zimejengwa Kwa Mithili Ya Kichama Zaidi Ilihali Kenya Siasa Zao Ximejengwa kwa midhili Ya Ukanda, Ukabila Na Daraja Za Kiuchumi Ya Wenye Nacho Na Wasio Nacho. So Lowassa Ana Umaarufu Zaidi akiwa na Chama Chake Lakini...
  5. JFKAMANDA

    Niulize Chochote Kuhusu Uchaguzi Mkuu Kenya.

    Raila Is The Most Popular Politician In Kenya Akifuatiwa Na Mpinzani Wake Uhuru Watatu Ni Makamu Wa Rais Willium Ruto Wa nne Ni Makamu Wa Zamani Wa Rais Kalonzo Musyoka Sent using Jamii Forums mobile app
  6. JFKAMANDA

    Niulize Chochote Kuhusu Uchaguzi Mkuu Kenya.

    Wana Jf Habari Za Leo? Mimi Kamanda Jf Nimejitokeza Mbele Yenu Ili Mniulize Swali Lolote Linalohusiana Na Siasa Za Kenya. Ni Imani Yangu Kwamba Mtauliza Maswali Yenye Hekima Kwa Pamoja Nitasaidia Kuyachambua Kwa Makini Kadri Nitakavyoweza. Uliza Swali Lolote Ilimradi Lihusu Uchaguzi Wa Kenya...
  7. JFKAMANDA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tanzania Si Maskini
  8. JFKAMANDA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kwema? Si Salamu Katika Kiswahili Sanifu Niijuayo Mimi.
  9. JFKAMANDA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mchezo huu utatimiza Miaka Tano Tarehe 29/06/2017
  10. JFKAMANDA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nimewamisss Mabeste Zangu Wa Secondary
  11. JFKAMANDA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tembele Sijui Maana Yake... Nadhani Msjindi Ni Jfkamanda
  12. JFKAMANDA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Uchwara si neno Baya
  13. JFKAMANDA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mjue Magufuli Ni Dikteta
  14. JFKAMANDA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mkalale We Na Mkeo Sisi Hapa Hatugoki Go'
Back
Top Bottom