Hapa ndipo tunaanza kutofautiana Kati ya wapambanani na wabangaizaji.
Risk takers watafanya. Kikubwa nataka mtu anaejua anachokifanya. Asiwe mtu wa kuiga bila kujua mpango kazi.
Wasalaam!
Je, una wazo zuri la biashara lakini huna mtaji wa kuanzisha? Hii ni fursa yako.
Nina mtaji wa TSh Milioni 10 na kutokana na majukumu mengi ya kazi nashindwa kujigawa, ninatafuta kijana mwenye wazo la biashara lenye tija na uwezo wa kusimamia biashara hiyo kwa uadilifu, uwajibikaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.