min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,589
Sio kidogoCHANGAMOTO SANAAAAAA
Sio kidogoCHANGAMOTO SANAAAAAA
Kuna siku moja zamani nilimwambia hivyo Bi mkubwa akacheka. Ila siku nilipoambiwa ma daktari kama naridhia kuondoa prostate yote kwa kisu nilikataa. Hivyo isiombe hicho kitu bwasheeNinachukia sana nataman tu nihasiwe nipoteze nguvu za kiume.nisiwe na hisia za mapenz niwe hakuna.
Ahasiwe afu awe masikini.Mkuu nakushauri kama upo tayari kwa hilo, tumia hiyo kama sharti la kujipatia utajiri.
Baba mtakatifu91 usiache kumuombea kwa Baba mtakatifu91Huyo hajaleft group bali alizaliwa mwanamke toka enzi na enzi kwa vile Jf ni uwanja wa fujo anajifanya kuwa mwanaume kwa kivuli cha kataa ndoa bila sababu za msingishano
Mimi nishamsoma kitambo sana sijui analenga nini ni kama kina Tlatlaah wanaocomment kama madume ila in reality ni matomboysBaba mtakatifu91 usiache kumuombea kwa Baba mtakatifu91
Mqmbo uyapendayo[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu tayari. Tumempoteza tayari. Kambi inazidi kupoteza marijaliWameshakuharibu uvulana wako mkuu??
Thread 'Mimi nina ushuhuda kwa wanaume' Mimi nina ushuhuda kwa wanaume
Thlaatlaa atakuja ku rap rap hapa muda si MREFUMimi nishamsoma kitambo sana sijui analenga nini ni kama kina Tlatlaah wanaocomment kama madume ila in reality ni matomboys
Asili haidanganyiThlaatlaa atakuja ku rap rap hapa muda si MREFU
Mlianzia wapi mjadala na mama yako hadi kufikia kumwambia hivyo?Kuna siku moja zamani nilimwambia hivyo Bi mkubwa akacheka. Ila siku nilipoambiwa ma daktari kama naridhia kuondoa prostate yote kwa kisu nilikataa. Hivyo isiombe hicho kitu bwashee
Awe nani awe nani vyovyote vile wanaume tusikitike pamoja kwa kijana kuukimbia urijaliTukumbuke pia hii ni ID ya Chizi Maarifa
Usitamani Ivo aisee tunazitafuta Sana izo nguvuNinachukia sana nataman tu nihasiwe nipoteze nguvu za kiume.nisiwe na hisia za mapenz niwe hakuna.
Aiwandaa 😄😄Tukumbuke pia hii ni ID ya Chizi Maarifa
Ili uweze kufanya kazi ya Mungu vizuri. Hutafikiria wanawake ila unaenda kinyume na uhalisia. You are against nature.Ninachukia sana nataman tu nihasiwe nipoteze nguvu za kiume.nisiwe na hisia za mapenz niwe hakuna.