Nahitaji Wafanyakazi 50 Kiwandani- Kibaha

Nahitaji Wafanyakazi 50 Kiwandani- Kibaha

Huna hela ya kuniajili ww sifanyi kazi boss muhindi nipo uwarabuni huku wahindi huku ndo madobi wetu wanatufulia nguo zetu huko bongo ndo mnawatemekea
njo tuonane acha maneno mengi
 
Dah ,maisha haya ila poa Mimi kwenye factor yangu silipi mtu Kwa Mwezi, nalipa Kwa siku ,kadri kijana anavyojituma ndivyo anavyotoka na pesa ,kuna muda mtu anafikisha laki mbili per day.

Napenda maendeleo yangu na ya wengine , vijana wangu karibu wote kila mtu anaishi kwake,vyumba viwili,vitatu ni kawaida mradi tu hadaiwi Kodi
Naomba na Mimi niajiri mkuu
 
Hivi nyinyi watu wa design hii mna watoto kweli? Mbn kila siku mnakuwa kama watoto, umri ushaenda humu mitandaoni hakuna haja ya kutafuta sifa za kijinga na za kishamba namna hiyo.
Mtu ameleta fursa, kosa lake liko wapi, kama wewe unaona haifai si uache wengine huenda inawafaa, acheni kuwa wajinga wapumbavu nyie, mnadhani mnachekesha kumbe ni ujinga wa kitoto, alafu wewe ni mtu mzima wala upendezi.

Wewe ndiyo unaleta utoto kwa kuruhusu wanyonyaji waendelee kunyonya watoto wa wenzio ,umepewa uweza wa kuweza kuajiri watu ,hivi laki 2 kazi ngumu ndiyo mshahara wa mwezi? Serikali yenyewe imetaja kima cha chini cha kumlipa mtu.

kama wewe upo humu JF kutafuta cheap popularity basi pole sana ,wengine tulishavuka huko.

Kama unaona laki 2 nyingi organise vijana wa mtaani kwenu wapeleke ili wakuone umewapa kazi .

Kwa sheria za nchin yetu ukishafikisha miaka 18 ni mtu mzima ,humu JF hakuna mtoto wote watu wazima.
 
Hamna huenda ukawa mtu wa kuhakiki tu nini kimetoka uwinga utakuuwa jua kali hili
Uhakiki eeh. Haya kachukue nafasi ya u-supervisor chap..!! 😹

Utakapopewa sululu uchimbe kisima ndo utaelewa..!!
 
Hizo kazi zenu wasukuma changamkia fursa. 😹

Mi nishazoea kutumia mdomo kuwapanga wasukuma ili mnunue mashati yenu pendwa ya MAUA 😹
Nywanokwebe😂 nimekutonga kama rafiki ngoja uendelee kupauka.
 
Kifupi tzs 7,143/- kwa siku.
Kula, kupanga, kununuwa mahitaji ya mwili, familia kula hapo hapo, maji, umeme, nauli, .....
Duh! Kazi ipo!
Wanaturudisha ukoloni wa CHEAP LABOUR.

Tukemee unyonyaji wa WAHUNI hawa wanaotumia matatizo ya wananchi kuwanyonya...Hivi kweli mtu ambaye unajielewa unaweza kumlipa mtu laki 2 kwa mwezi?

Hivi Elfu 7 kwa siku inatosha vipi? Halafu kazi yenyewe ni ya kutumia nguvu ambayo inahitaji ule ushibe milo yote mitatu ,unaimudu vipi?

Anatokea Mpuuzi mmoja anatetea unyonyaji ,hatuwezi kuacha kuwaambia ukweli ,wafanyabiashara wanatengeneza faida kubwa sana ila wanawalipa wafanyakazi hela kidogo sana halafu wao wanaenda kutapakanya fedha kihanasa wakati hiyo fedha wangeweza kushare na staffs wao.

Narudia kusema tena kama mnaona laki 2 ni nyingi sana ,tafuta vijana huko mtaani kwenu ukawape/ukawaunganishe na hiyo ajira.
 
humu jf kuna watu wa aina mbalimbali wenye kipato tofauti na wenye shida mbalimbali kwaio usiwe mtu wa kuongea tu fikiria kwanza unachokiongea jitaid tuonane
Mkuu unavyosema shida inamaanisha unatoa ajira kwa kumsaidia muhitaji. Kitu ambacho sio sahihi. Mfanyakazi wako anakufanyia kazi kwahiyo unatakwea kumlipa anachostahili kulingana na kazi anayofanya. Haumfanyii favor, unamlipa stahiki yake ya kukufanyia kazi
 
Back
Top Bottom