Recent content by jerry voice

  1. J

    JamiiForums Tanzania ushauri wa bure kwa CDM

    Chadema ni chama chenye nguvu sana na kinaweza kuchukua madaraka ndani ya nchi hivo wanapaswa kuaminiana na kuwa kma timu ili kuweza kufikia malengo ila akijitokeza mtu akawa tofauti na wenzake!{msaliti}anapaswa kuondolewa bila kujali anawadhifa gani ndani ya chama!!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM Cyril Chami aichana CCM

    Hayo ndiyo exactly wananchi wanahitaji na ndio kilicho wapeleka bungeni na siyo kinyume chake!!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mafanikio ya CHADEMA toka 1992. What a shame!?

    Napata wasiwasi na uwezo wa kufikiri wa mtoa mada kwani ameegemea zaidi kukipaka matope chadema kuliko kutoa mafanikio ya chadema kama kichwa ch mada husika kinavo sema!!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria

    Ni swala la kureason tu hapo kwani hamna jambo jipya la kushangaza alilosema dr. Slaa kwani pia serikali inachukua ushuru wa rizzla na hku wanapiga marufuku uuzwaji bangi!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya CCM na CHADEMA katika mitandao ya kijamii

    Nihaibu kubwa kwa kijana kuendelea kukumbatia ccm kwan miaka 52 yote ya uhuru tanzania ni miongoni mwa nchi maskini duniani huku tukijaaliwa rasilimali za kutosha mtanzania fungua macho tuikomboe nchi yetu kwenye lindi la umaskini!chadema ndicho chama pekee kimeonyesha kupambana na upatikanaji...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CCM mbona kimya kingi kuhusu kifo cha Mabina?

    Hii inaonesha wazi kuwa hamna walio juu zaidi ya nguvu ya uma wakichoka madhara yake ndio hyo viongozi wa ccm wanapaswa kujua wananchi wamekichoka chama na udhalimu unaoendelea ndani ya chama mwananchi wa tanzania usifanye makosa 2015!!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ccm na ubaguzi wa watu wa kaskazini!

    Tanzania ya lei syi ya miaka arobaini na saba ya leo ni ya watu wanao reason na kuquestion yaan hawadanganyiki ccm inapaswa kuhusika na mambo yanayochafua chama chao kma vile ufisadi'ubinafsi'rushwa'na kutokuwajibika kama viongoz na kuweka tabaka la walionacho na wasionacho na siyo kuleta siasa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Leticia Nyerere: WaTanzania wengi wamepoteza uzalendo kwa taifa lao!

    Nionavyo mimi serikali na viongoz ndio wamekosa uzalendo kwa kule kusahau misingi iliyowekwa na waasisi wataifa hili kwa kujiusisha na mikataba isiyokuwa na maslahi ya wananchi bali kujinufaisha wenyewe na familia zao.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Lema aibuka na 'bomu la Soweto' Bungeni

    Kwa srekali kutuhumiwa kuhusika na matukio ya mauwaji itafika sehemu wananchi kulipa kisasi ndani ya nchi tunashuhudia mauaji ya mstaafu mwenyekit wa ccm mkoa wa mwanza inaonyesha wazi kuwa wananchi wamechoka na serikali iliyopo madarakani!!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Picha: Mikutano na Dr.slaa ni Taabani huko Tabora

    Nionavyo mimi hyo picha ya kutengeneza haina mashiko kabisa kwa watu wenye uwezo wa kufikiria kiakili hvyo tusiamini katika hyo picha ni propaganda tu.
Back
Top Bottom