Abdull Kazi
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 345
- 306
Wakati huu ambao chama chenu kina hali ya sintofahamu kutokana na mgogoro unaoendelea ingekuwa ni wakati muafaka kwa wanachama wapenzi na washabiki kwa ujumla,wakajielekeza kutafuta namna bora ya kufikia mwisho badala ya kutumia mitandao ya kijamii na vyombo vingie vya habari kuwajaza mihemko viongozi wenu.
Karibu asilima 90 ya wanaochangia ktk mitandao wanaishia kutoa kashfa kwa upande ambao hawaafikiani nao...hali inayotoa mwanya kwa maadui wa chama chenu kupenyeza sumu watakavyo na kwa kuwa mmeshamini kila mmoja kuwa adui yake ni yule asiuekubaliana nae wenzenu wanazidi kushambulia kadiri wawezavyo mtakapotahamaki mtakuwa mmechelewa fanyeni jambo moja sasa timuaneni au mkubaliane kusameheana mpate muda wa kufanya mambo mengine