Tofauti ya CCM na CHADEMA katika mitandao ya kijamii

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,089
2,000
Ni muda sasa toka nianze kufuatilia habari ktk mitandao ya kijamii hasa jf na fb.

Nimefuatilia wachangiaji ktk jukwaa ka siasa na habari na hoja mchanganyiko nikagundua machache haya yanayotofautisha wenye mitazamo ya vyama hivi viwili:

Kwanza nimegundua kuwa wengi waleta hoja ni wale wa mlengo wa chadema na wale wa mlengo wa ccm wamejipanga kupangua hoja tu hawaleti hoja labda kuwe na tukio ka kisiasa.

Pili wanaojipambanua kuwa upande wa ccm wanatumia lugha kali kuliko hoja zaidi.

Wanaccm wenzangu tulete mada za kuimalisha chama siyo kusubiri kupangua hoja za wenzetu kwani hatuna mada?
 

Lusam

Senior Member
Apr 4, 2013
195
0
Tofauti nyengine ni kwamba wachangiaji wa CCM wanalipwa kwa kila hoja wanayopinga lakini wa CDM hawalipwi.
 

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,420
2,000
ni muda sasa toka nianze kufuatilia habari ktk mitandao ya kijamii hasa jf na fb.
nimefuatilia wachangiaji ktk jukwaa ka siasa na habari na hoja mchanganyiko nikagundua machache haya yanayotofautisha wenye mitazamo ya vyama hivi viwili:
kwanza nimegundua kuwa wengi waleta hoja ni wale wa mlengo wa chadema na wale wa mlengo wa ccm wamejipanga kupangua hoja tu hawaleti hoja labda kuwe na tukio ka kisiasa.
pili wanaojipambanua kuwa upande wa ccm wanatumia lugha kali kuliko hoja zaidi.
wanaccm wenzangu tulete mada za kuimalisha chama siyo kusubiri kupangua hoja za wenzetu kwani hatuna mada?
Jiandae maana watakushukia kama vipanga na kukukana kuwa wewe si mwenzao na kukupa majina yote mabaya. Hawautaki ukweli ndio hulka yao.
 

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
14,001
2,000
Tofauti nyengine ni kwamba wachangiaji wa CCM wanalipwa kwa kila hoja wanayopinga lakini wa CDM hawalipwi.

Tofauti nyingine ni kwamba wanaCCM ni wakishua!, hawana njaa kama watoto wa mbwa wengine wa upinzani kama TLP, CUF, NCCR, chadema e.t.c
 

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
15,719
2,000
Gongo fc vs sembe (lumumba) fc. Hakuna mwenye unafuu hapo. Chadema ni busha,ccm ni ngiri.
 

Shim

New Member
Dec 15, 2013
4
0
Tofauti nyingine ni kwamba wanaCCM ni wakishua!, hawana njaa kama watoto wa mbwa wengine wa upinzani kama TLP, CUF, NCCR, chadema e.t.c

watoto wa kishua???? wanaotokana na kuiba na kukusanya mali za mbwa wengine,na kujitoa jina mbwa na kujiita wakishua!!!...
 

Uledi

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
583
500
Tofauti nyingine ni kwamba wanaCCM ni wakishua!, hawana njaa kama watoto wa mbwa wengine wa upinzani kama TLP, CUF, NCCR, chadema e.t.c


Sidhani kama unawakilisha CCM na kama unafanya hivyo ubongo wako utakuwa na fungus. Wana CCM hawana tabia ya kuita wengine mbwa. Hii ni tabia ya watoto na wajukuu wa wana ccm ambao hawajui chama hiki kimetoka wapi.

Badala ya kuja kuongea upuuzi wako hapa wakati mwingine ni vizuri ukatembea kitogo kupunguza kitambo kinachoelekea kukuzidi umri.
 

jerry voice

Member
Dec 16, 2013
10
0
Nihaibu kubwa kwa kijana kuendelea kukumbatia ccm kwan miaka 52 yote ya uhuru tanzania ni miongoni mwa nchi maskini duniani huku tukijaaliwa rasilimali za kutosha mtanzania fungua macho tuikomboe nchi yetu kwenye lindi la umaskini!chadema ndicho chama pekee kimeonyesha kupambana na upatikanaji wa maendeleo ya nchi hii!!
 

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,089
2,000
wanaccm wenzangu mbona tunaendeleza matusi badala ya hoja,nimesema chama chetu pamoja na kukiita magamba bado tunauwezo wa kutoa hoja.tuache matusi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom