Ccm na ubaguzi wa watu wa kaskazini!

Ccm na ubaguzi wa watu wa kaskazini!

The best PM of Republic of Tanzania has only been C.D.Msuya has has always done the PM job as per Katiba. Alikuwa haongei na vyombo vya habari but he usually made things happen,

Unataka kumaanisha nini? Msuya!! Kweli watu humu mnapepeta sana midomo..watu hawali maneno maneno.
 
kibaya zaidi hawajui Tanzania ina kanda ngapi!? wao wanao ijua ni kanda ya kaskazini tu! kama hamuamini mtafuteni Ritz au yoyote muulize kanda zilizopo Tanzania na mikoa yake uone jinsi watakavyo tokwa na povu.[/QUOTEo]

Mtoi ukweli ni huu CDM=kanda ya kaskazini,angalia viongozi wa juu na watokwa povu kama ben saa,8
 
Last edited by a moderator:
Mnapoongelea ushaabiki wa vyama mimi nashangaa sana.Hivi umerudi kijijini kuangalia binamu zako maisha wanayoishi.
 
Tanzania ya lei syi ya miaka arobaini na saba ya leo ni ya watu wanao reason na kuquestion yaan hawadanganyiki ccm inapaswa kuhusika na mambo yanayochafua chama chao kma vile ufisadi'ubinafsi'rushwa'na kutokuwajibika kama viongoz na kuweka tabaka la walionacho na wasionacho na siyo kuleta siasa uchwara za kupakana matope!!
 
Wapare wanaonekana sii watu kaskazini kwa kuwa wanaisupport ccm

Haya makabila mawili sijui ni kwa sababu ya shule au nini lakini yako na ukaribu wa ajabu! e.g. Siku hizi za karibuni wako almost wanaoana wao kwa wao ... ndio makabila yanaonyesha kwamba kwa upare na uchaga ni utani tu and not beyond that!
 
Watu wa Kaskazini (Hasa WACHAGA ) akishika mmoja wao kitengo basi watajaa wao peke yao...
Mfano viti maalumu CHADEMA....

Kwa hiyo siku Mchaga akiwa Raisi hadi kazi za Kuwika asubuhi majogoo watanyang'anywa wapewe wachaga
 
Back
Top Bottom