Mbunge wa CCM Cyril Chami aichana CCM

Mbunge wa CCM Cyril Chami aichana CCM

Acha kuwaza na kupiga kelele
juu ya uzinzi wa watu. Kila mtu ni mzinzi tu. Viongozi wa serikali wote
ni wazinzi na wengi wao mabasha, hizo kelele na mbwembwe kampigie
Mwigulu. Hata watoto wa mitaani ni zao la uzinzi wa ccm, Nape anajua
hilo, pengine na wewe ni zao hilo. Wananchi wote ni wazinzi na hatutaki
kujadili hilo. Povu lako ni bure tu, kwa hiyo tafuta kuboresha maisha
yako. Kwa nini maisha bora kwa kila Mtanzania hayakupatikana? Sababu ni
uzinzi tu!!!!

halafu tunajiuliza kwa nini ni maskini! tunaanza kuwasingizia wazungu! kumbe tunafanya maovu kuanzia wananchi mpk viongozi acha tulaaniwe!
 
Huyu Mbunge wangu ananichekesha sana! Aseme kile kituo cha Polisi Okaoni pesa kapeleka wapi?
 
Huyu sio yule aliewajibishwa kwa kushindwa kutekeleza kazi alizokabidhiwa?

ndo huyo mkuu , siku hizi nakupongeza unachangia sio kuropoka, naona sasa umejiunga kwenye kundi la sisi wazee wa busara.
 
Kumbe kayazungumzia fb hahahaaaa..... kwenye party caucas anapiga kimya ndiyo mzee inatawala
 
Ha ha ha ha.. Huyu c ndo katika mawaziri mzigo nae yumo..? Kapigwa jungu sasa ndo anagundua kwamba ccm ni majungu kwenda mbele..

mkuu huyu mbona alishatemwa muda mrefu kabakia na ubunge ambao hata hivyo hatapata tena nafas ya kurud bungeni
 
Hayo ndiyo exactly wananchi wanahitaji na ndio kilicho wapeleka bungeni na siyo kinyume chake!!
 
Ukiifahamu kweli itakuweka huru na utasema ukweli hongera sana Chami!.
 
Chami naona kanusa kuwa kuna-reshufle ya lala salama inakuja kaona asikae kimya ili watu wamuone kuwa yupo na akili zake zimerudi kikamilifu,maana alipotea sana tangu TBS ilipompasukia nyongo. Kama anadhani kuongea hivi ndio atarudishwa Barazani basi imekula kwake sababu Ugambani hakuna kukosoana wala kusema kweli,na mimi nilijua kwa kipindi chote tangu atemwe Uwaziri angekuwa Jimboni kwake Moshi Vijijini kucheki matatizo mbali mbali ya Wapiga kura wake yeye anaranda na mademu na mitungi tuu,Nyambafuuuuuu.....
 
Huyo ni bure kuna barabara ya huko moshi vijiji naskia inaunganisha vijiji viwili mpaka mpaka raisi alikuja kupiga debe mpaka leoa haijaisha miaka nane amekaa mjengoni, nina mashaka sana kama kura hata ya kuondoa aibu atapata namshauri akagombee u diwani au mjumbe wa nyumba kumi looooh
 
Huyu aliomba tumwombeee kwa Mungu, ili Mungu asiendelee kumwadhir.
 
Tumekusikia Mh. Chami. Tunakuomba maneno haya ukienda hata kwenye vikao tu vya wabunge wa CCM waambie. Tunahitaji hoja muruwa si mipasho na maneno ya vyumbani. Vimemo vikipita bungeni viwe ni vya kumshauri mwenzio asemee vizuri jimbo lake si kumpa mipasho.
Amshauri pia Job akikalia kile kiti, awafunde Maccm yajue kusema Kitaifa si Kichama kilichokwisha jifia chenyewe. Awaone wapinzani kama wenye nafasi nzuri ya kuwaamsha chama tawala wala si chama Twawala.
 
Ni ngumu kupata mwanan ccm ambaye si tu mwananchama kwa sababu anayo kadi ya Chama bali kwa sababu ni mshabiki tu wa Chama akakemea maovu ya Chama chetu hiki kwa kuwaepusha viongozi wake na kushadadia issues huku wakiacha facts zikiendelea bila kutafutiwa ufumbuzi..wapo humu Jamiifurums washabiki wa aina hiyo..mwananchama wa chama mwenye kufuata katiba ya CCM huwezi kukaa kimya kuacha viongozi wa chama waanzishe mijadala myepesi myepesi wakati kuna facts kibao hazifanyiwi kazi..nasemaga kila siku jamani ILANI ya CCM ndio Muhimu na sio ajenda ya CHADEMA ife ama ifutwe. Isingekuwa hawa chadema nadhani kuna mengi CCM wasingeweza kuyafanya..wachukulie CDM kama changamoto katika kufanikisha ILANI sio katika kuuwa ILANI..

CC: washabiki wa CCM..
 
nayeye apunguze unafki wananchi wa bogini juu na chini hadi chekereni,kahe amewasahau au????????????????????????????????????????????????!!!!!!!!!
:banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease:
 
Sawa ulivyonena Mheshimiwa Chami, lakini kuondoa dhana kuwa unaogopa kitu kaombe mwongozo wa Spika usemee mjengoni hayo hayo uliyonena, sisi wapiga kura wako tutakuona jasiri na unataka kweli wabunge wajitambue.
Kusemea mjengoni ndio mahala wahusika wote wapo pamoja na Mwigulu, na majibu yao watatoa hapo hapo live.
 
Back
Top Bottom