Recent content by jerry honde

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mpigie kura Rais Magufuli kwenye Forbes Africa Person of the year

    hiyo tuzo ni uongo wa maccm hakuna kitu kama hicho Forbes africa walichoweka!!!,hii ni kukifanya kibaya kijiuze
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mabomu ya machozi Shule ya Sekondari Mwanza

    hii ni mbeyalization,ile spirit ya wanambeya imeanza kusambaa kwa speed ya ajabu.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa, CHADEMA wanarudia makosa yale yale, matumizi ya hizi tembe ni sumu kwenu

    siasa maji machafu,kwani Kule Tunduma,Mbeya ni wachagga au mbeya ni wachagga?!!,mbona mnakuwa mambulula hivyo?!.CHADEMA sio chama cha kikanda hata kidogo.Lumumba kuleni buku nanenane muendelee kuichafua CHADEMA!!.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Forbes ni Uongo, wapotoshaji wakamatwe na kufikishwa mahakamani

    mimi mwenyewe nilishangaa hiyo tuzo apewe kwa lipi?!
  5. J

    JamiiForums Tanzania WanaChadema wanaendesha kampeni katika mitandao ya WhatsApp Magufuli ashindwe tuzo ya FORBES 2016

    upuuzi ni kujadili mada ya kipuuzi kama hii iliyoletwa na mpuuzi puuzi mmoja.Tuna mambo mengi ya kufanya sio kila mda unawaza kuleta mada ya upuuuzi,kajipange upya ndio uje.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kilio cha wanafunzi hawa kwa umma

    Sio kwamba tuliishafanya field ila nikwamba tukiwa st.joseph tulikua tunafanya field mwaka wa pili na watatu,hivyo basi sisi tulikua hatujafanya field moja ambayo ilibidi tuimalizie tukiwa UDOM,shida iliyopo ni kuwa hatujawekewa hela ya field kutoka loans board mpaka sasa ikiwa ni wiki ya tano...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wanachuo waliohamishiwa UDOM watelekezwa na Serikali

    Ujumbe huu uufikie umma. namo tar 19/02/2016 Serikali kupitia Tume ya vyuo vikuu (TCU) ili vifungia vyuo vikuu vishiriki vya Mt Joseph tawi la Songea na Arusha wanafunzi hao walihamishiwa katika vyuo vikuu tofauti ikiwemo Chuo kikuu cha Dodoma. Ni baada ya kuchukua hatua stahiki kufuatilia...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Wanafunzi wa Mbeya Day, wana nidhamu mbovu,Wanavuta bangi, Walimu karibuni Mbeya

    dogo yule kile kichapo alichopewa kidogo sana,haiwezekani mwanafunzi amrushie ngumi mwalimu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Aviation Industry: Precision air vs Air Tanzania vs Fastjet

    Kama ww ni mwanafunzi au mtu yeyote asiye na ajira au mwenye mshahara mdogo tafadhali bonyeza link ifuatayo uweze kutengeneza hadi dollar 500 sawa na shilingi milioni moja na laki mbili za kitanzania kwa siku.kujiunga ni bure kabisa.Anza sasa kulipwa kutokana na kutumia muda wako kwenye...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Doing Business in Mozambique

    Kama ww ni mwanafunzi au mtu yeyote asiye na ajira au mwenye mshahara mdogo tafadhali bonyeza link ifuatayo uweze kutengeneza hadi dollar 500 sawa na shilingi milioni moja na laki mbili za kitanzania kwa siku.kujiunga ni bure kabisa.Anza sasa kulipwa kutokana na kutumia muda wako kwenye...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi niwe mjasiriamali, naombeni ushauri

    Kama ww ni mwanafunzi au mtu yeyote asiye na ajira au mwenye mshahara mdogo tafadhali bonyeza link ifuatayo uweze kutengeneza hadi dollar 500 sawa na shilingi milioni moja na laki mbili za kitanzania kwa siku.kujiunga ni bure kabisa.Anza sasa kulipwa kutokana na kutumia muda wako kwenye...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hatma ya mgogoro wa CUF itamalizwa kwa namna hii

    Kama ww ni mwanafunzi au mtu yeyote asiye na ajira au mwenye mshahara mdogo tafadhali bonyeza link ifuatayo uweze kutengeneza hadi dollar 500 sawa na shilingi milioni moja na laki mbili za kitanzania kwa siku.kujiunga ni bure kabisa.Anza sasa kulipwa kutokana na kutumia muda wako kwenye...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Raymond kutoka WCB avuta mjengo wa maana

    kutoka Nzonda haki mpaka kumiliki mjengo
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje nipendwe kama zamani?.

    mpe hela
Back
Top Bottom