benedict2
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 280
- 184
Hata mm nnazidi kuwashangaa mkuuYaani kadri wanavyowapigia wanya Rwanda, ndivyo wanavyompa ushindi Magufuli. Kwanza hawa jamaa malofa kweli. Si wanasemaga Rais Magufuli alienda kujifunza jinsi ya kuminya upinzani kule Rwanda? Sasa leo wanyarwanda wamekuwa marafiki wao?