Recent content by Jerry de Marco

  1. Jerry de Marco

    Series (Special thread)

    Wakuu naomba msaada wa kupata torrent site ambayo nitatumia ku download movie pamoja na series kwenye laptop
  2. Jerry de Marco

    Waliosoma Tosamaganga High School

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sana
  3. Jerry de Marco

    Waliosoma Tosamaganga High School

    Hahahahah ama kweli mtu aliyepita tosamaganga ana mengi aliyojifunza kutokana na life style ya pale. >Kipindi cha mitihani halafu ikutwe mvua inanyesha huwa ni balaa ngazi za kule jikoni kwani ni mtiti mbaya zaid ukute ni kitu cha nyalii...hahhaha >Mgomo wa tar 30 june 2012 hii nayo sitasahau...
  4. Jerry de Marco

    shortcut kwenye pc

    Sawa mkuu ntafanya hivyo na jioni nitaleta mrejesho,kwa sasa sipo karibu nayo
  5. Jerry de Marco

    shortcut kwenye pc

    Wakuu na kama flash iko protected,kuna namna gani ya kufanya ili irudi kwenye hali yake ya kawaida? Naomba kuwasilisha
  6. Jerry de Marco

    Series (Special thread)

    Nami naomba uni add kwwnye group la series kwa nambari 0683 192 357 Natanguliza shukrani
  7. Jerry de Marco

    Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    Nimesoma maoni ya wengi humu,kwa upande wangu mimi sidhani kama kufunga geti ndio suluhisho la matatizo. Ili pawepo na ufanisi mzuri katika idara mbalimbali au ofisi ni vyema viongozi wa juu wakakaa na wale walio chini yao kisha kupanga mikakati ni kwa namna gani watatekeleza majukumu na kufikia...
  8. Jerry de Marco

    Heshima kwako Dr. MziziMkavu

    MziziMkavu naomba na mimi uni addd kwa hii +255 683 192 357, kuna mtu mgonjwa nadhani naweza kupata tiba yako. Natanguliza shukrani
  9. Jerry de Marco

    Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

    Wakuu naomba mnisaidie mwenye joininig instruction ya machame girls
  10. Jerry de Marco

    TANZIA Mwanafunzi wa UDSM (COET) agongwa na gari

    Watu wa UDSM polen sana,huyo jamaa nimesoma nae advance tosamaganga na alifahamika zaid kwa jina la Mangi. Bwana ametoa na Bwana ametwaa. R.I.P bro
  11. Jerry de Marco

    DAY 2: Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015

    Jaman kuna gar za kwenda tabata segerea?
  12. Jerry de Marco

    DAY 2: Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015

    Mnazimmoja-segerea kuna magar yanatembea? Kwa mwenye kufaham naomba anijuze
  13. Jerry de Marco

    Hili limeshakuwa tatizo: Dola sasa ni zaidi ya TZS 2,350/= Kikwete, Ndulu, Wizara wapo kimya!

    Hivi nini maana ya kuwa na watu katika vitengo vya vyema na wakasema wana elimu juu ya uchumi na wakati huo uchumi wa taifa lao unashuka. BOT inahusika na kutengeneza sera ambazo zitasaidia mzunguko wa sarafu yetu ili kuhakikisha kuwa inabaki kwenye hali nzuri badala ya kupanda au kushuka sana...
  14. Jerry de Marco

    Arusha hali si shwari kabisa

    Sidhan vitendo kama hivyo vinaleta heshima katika jamii au kwamba uonekane wewe jasiri sana na unajiamin. Na bado mtu anayefanya hivyo hana dira yoyote ya maisha,ni bora kupambana kutafuta maisha na kupambana kwenye mambo ya ugomvi ambayo hayana masilahi yoyote
Back
Top Bottom