Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

Kwa wale waliopangiwa munanila high school wanitafute kwa namba hii 0768043900
 
Wapendwa kwa mwenye mawasiliano ya shale ya A- Level iitwayo Usevya.
kuna dogo amepangwa huko anahitaji mawasiliano ili apate maelekezo.
natanguliza shukrani
 
Habar wanajukwaa..kuna ndugu yangu amepangawa shule tajwa hapo juu. Hivyo kwa mwenye j.instruction naomba aniattachie. Natangliza shukran
 
shule ipo sumbawanga.. ni kijijini, usitegemee mwalimu ni juhudi zako tu kujisomea.
kitaaluma iko chini saaana.
mahitaji nadhani yatakuwa ya kawaida tu.. counter books angalau tano,ada 70000, michango mingine 30000,
godoro na vitu vingine tu kwa ajili ya boarding au ghetto life.
 
Ipo sumbawanga vijijini, karibu sana, mlale uli awe ningo sante kalesa!
 
jamani mimi natafuta ya nachingwea secondary
 
Ndugu naombeni mnisaidie joining instruction ya lyamungo au mahtaj muhmu kwa aliye nayo . Ahsanteni sana kwa msaada wenu
 
Mwenye contanct za rutabo high school tafadhar naomba au aipatie join instruction plzzzzz
 
aliyechaguliwa sengerema high school au anayeijua tafadhal atupe muongozo
 
Mwenye joining instructions ya msamala secondary ya songe
 
Back
Top Bottom