Shoga wanaume ni kuwaomba hela tu, yaani penda pochi ukimpenda yeye utaumia! Na kama hakupi hela ww fatilia ujue nani anaempa hela, lazima atakuwepo tu anayepewa! Ukishamjua usipanic, ww tafta new line afu ujifanye yule mwanamke anaempa hela, akishaingia kweny line tu ww mpige pesa ya maana...
Habari wana jf natafuta rafiki ambaye amesoma I. T vizuri especially kwenye mambo ya software kuna mambo nataka anielekeze, so kama una ujuzi huo ni pm
Mim nakwambia hao viewing payed advertising sites acmoney. bid-welcome ni uongo mtupuuu utalia nakwambia na utapoteza mda wako, hakuna pesa ya rahisi hivo nina experience nao hao, acha mara moja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.