Hivi tanzania kuna Hackers??

Naomba niulize jamani hivi hapa Tanzania kuna hackers kweli au ni wale script kiddies.? Nashindwa kuelewa jamani...
HAKUNA WALICHUKULIWA VIJANA WACHACHE WAKAPELEKWA INDIA NA TRA LAKINI WALE WALISOMA CEH YA KAWAIDA JAPO WANAJITAHIDI KIDOGO LAKINI HAKUNA HACKERS TULIOBAKI TUNAGANGA NJAA TU KURESET PASSWORD AMA KUDELETE DATABASE UNAJIITA HACKER VERY FEKEN
 
wapo mkuu na watu wanapiga pesa
hakuna hacker mjinga atakae jitangaza kiajabu ajabu kuwa yeye n hacker
hacking n cyber crime mkuu au
Aliekwambia hacking is a cyber crime nani? umekariri mkuu. Kuna ethical hacking na unethical hacking.
 
Tcra inatupa mwanga mzuri kuwa tanzania ktk nyanja ya kiteknoljia tupo nyuma saaana.
 
Kuna watu humu wazungumzia habari za Benki...binafsi naona wanachanganya vitu viwili tofauti...yaani..Phishing na Hacking! Kibongobongo hacking bado sanaaa..
 
IMG_20180804_143622_557.jpg
IMG_20180804_143633_821.jpg

Unatafuta kundi gani kati ya hao
 
Swali lako ni Tata . Tafuta maana neno Haker kwanza. Hata kupiga Puli ni Hacking 😂😂😂. Anyway "Sifa ya Hackers ni Wasiri mno huwezi watambua"
 
Back
Top Bottom