Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,038
- 46,879
naomba tusaidiane kuiangusha hii
Welcome to the CIA Web Site — Central Intelligence Agency
www.cia.gov
Welcome to the CIA Web Site — Central Intelligence Agency
www.cia.gov
kasome zaidi ndo utawajua kama wapo au hawapoNaomba niulize jamani hivi hapa Tanzania kuna hackers kweli au ni wale script kiddies.? Nashindwa kuelewa jamani...
nidukue mkuuNikudukue
Haiwezi kutokeaKama kuna hacker professional ani pm pls nashida anisaidie.kitu
Hackers wapo ila wapo busy kutafuta mkate wa kila siku (maisha yamebana). Site za kibongo hazina hela na pia hazina useful infomation.Haiwezi kutokea
inategemea na uelewa wako kuwa hacker ni nani lakini kiuhalisia hackers hawawezi kukosekana....Naomba niulize jamani hivi hapa Tanzania kuna hackers kweli au ni wale script kiddies.? Nashindwa kuelewa jamani...
Hacker wa namna gani? Black hacker's or white hacker's ?Naomba niulize jamani hivi hapa Tanzania kuna hackers kweli au ni wale script kiddies.? Nashindwa kuelewa jamani...