Recent content by jembelamkono

  1. jembelamkono

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu atakutana na Rais Samia Suluhu Ubelgiji?

    Vipi kwa Freeman Mbowe?
  2. jembelamkono

    JamiiForums Tanzania Polisi wakamata dhahabu ya Sh milioni 140 ikitoroshwa, mtuhumiwa atokomea, atelekeza gari

    Mil 70 tu iliwatoa ubinadamu huko Mtwara,ije kuwa 140?Cinema nili tusiwaamini sana.
  3. jembelamkono

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja ndani ya Merigos Fleury Prison

    BTC kama huna bank account unainunuaje?
  4. jembelamkono

    JamiiForums Tanzania Mimi ndiye niliyefanya soda iuzwe shilingi 500 badala ya shilingi 600

    Tena ulitukosea saana,ungefanya iuzwe elfu nane (8000 kwa chupa)ile mi kemikali sio poa,watu wanatakawa washindwe kuinunua?
  5. jembelamkono

    JamiiForums Tanzania Zambia wameanza kubadilisha maplastiki na rubber kuwa mafuta na gesi (petroli, dizeli, na gesi ya LPG)

    Hapa kwetu kwanza jamaa angekutana na vikwazo vizito kutoka EWURA,TBS,sijui Encironmental Impact Assessment,OSHA na ungese ungese mwiingi kutoka kwa maajent wa ccm.
  6. jembelamkono

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Bagamoyo: Waziri Mwambe asema Wachina walisema Dar hadi Pangani, na sio Mtwara hadi Tanga

    Samia mwenyewe kavurugwa,hajielewi
  7. jembelamkono

    JamiiForums Tanzania Biashara Comoros

    Habari wadau, Kama kuna yoyote anayefanya au anayemfahamu mtu anayefanya biashara kati ya Tanzania na visiwa vya Comoros tafadhali tuwasiliane hapa au PM, kuna jambo tunaweza kushare. Ahsante.
  8. jembelamkono

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusoma kwenye chuo cha afya nchini Marekani

    Ningeanza na uzoefu wa wadau,nafkiri ndio ningeweza kufilter taarifa sahihi google.
  9. jembelamkono

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusoma kwenye chuo cha afya nchini Marekani

    Habari wakuu, Nahitaji kwenda kusoma nchini Marekani katika kozi za Afya especially nursing, nategemea kujigharamia mwenyewe gharama zote mpaka kumaliza masomo. Naomba kupewa taarifa na wazoefu, ni vyuo gani vinavyotoa kozi za afya kwa muda mfupi,mfano miaka 2? Na je gharama na taratibu za...
  10. jembelamkono

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movie nzuri ya kuangalia mkiwa wawili wa jinsia tofauti

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  11. jembelamkono

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

    Wakuu mwenye link ya kustream hii game,atupie hapa tafadhali.
  12. jembelamkono

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

    Kuna mwenye link ya kuangalia live?
  13. jembelamkono

    JamiiForums Tanzania Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

    Daah,watu mnamipango ajabu?![emoji114]
  14. jembelamkono

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Mwenye link ya kuweza kuiona hii game live tafadhali iweke hapa.
  15. jembelamkono

    JamiiForums Tanzania Kiuchumi kitaalam tupo kwenye Recession

    Kijana wako wengi watakupinga hapa,lkn sisi wenye busara na upeo tunakupa kongole kwa kuliangazia hili.
Back
Top Bottom