Biashara Comoros

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,003
Habari wadau,

Kama kuna yoyote anayefanya au anayemfahamu mtu anayefanya biashara kati ya Tanzania na visiwa vya Comoros tafadhali tuwasiliane hapa au PM, kuna jambo tunaweza kushare.

Ahsante.
 
Mkuu kama hutajali weka namba yako ya whatsapp
Kwa hili utanisamehe, siwezi kuweka na, namba yangu ya simu hapa.

Kama una jambo unahitaji kujua uliza hapa, kama unaona si jambo la kuweka hadharani njoo PM jieleze; baada ya hapo nitakupa namba kama nitaona kuna umuhimu wa kufanya hivyo.

Nikipata mda nitaweka uzi kuhusu Fursa na Changamoto zilizoko huku kwa manufaa ya wengi.
 
Habari wadau,

Kama kuna yoyote anayefanya au anayemfahamu mtu anayefanya biashara kati ya Tanzania na visiwa vya Comoros tafadhali tuwasiliane hapa au PM, kuna jambo tunaweza kushare.

Ahsante.

Nilikaa huko muda mrefu kiasi almost 25 months
 
Back
Top Bottom