Kwanza pole kwa yaliyo wakuta. Pili "Umezini" ummekua mkivunja Amri ya sita ya Mungu. Hivyo basi. Kwanza wote wewe na yeye Muombe toba kwa Mungu kwa Dhambi mliyokua mkitenda "uzinzi" huu ni wakati wenu kumrudia Mungu. Tafuteni kanisa lakiroho "MUOKOKE" mumpokee Bwana Yesu Kuwa Bwana na mwokozi...
Sorry kama itakuwa inakuumiza bt the truth is. Huyo jamaa hakupendi na inatokea unakuta unampenda mtu bt he doesn't love you back. Huyo sio ubavu wako. Japo ni ngumu sana kwa mtu unaempenda bt I advice you. Achana nae kabisaaaa. Akili yako ifocuse kwny mambo mengine especially maisha. Usitafute...
Kweli kabisa hapo umenena. Hata hvyo nimegundua Viongozi wetu karibia wote wanamapepo haswa CCM wote wako kama wamechanganyikiwa maamuzi wanayofanya niya kitoto yaani huwezi kuamini kweli maamuzi haya amefanya mtu mwenye akili timamu au Tahira. Hao ndio Viongozi wetu. Halafu unadiriki kujiita...
Huku ni kuchanyikiwa na sindhani kama nikiita ni wendawazimu ntakuwa nimekosea.. unajua kwa mtazamo wangu nilikua na waza kwamba Kikwete kafanya mambo mengi yakipuuzi sana katika nchi hii na amekuwa na wananchi asilimia kubwa walishamchoka na kuona kuwa hawez kuongoza na nchi hii ilishamshondwa...
Nenda chuo hayo mengine muombe Mungu coz nina uhakika hukuchaguliwa chuo kwa bahati mbaya Mungu anamakusudi na Maisha yako na ndio maana akasaidia ukachaguliwa chuo. Mtegemee sana Mungu na ung'ang'anenae haswa maana kwenye bible anasema atakaenitafuta kwa BIDII ataniona. Don give up fanya...
Huyo rafiki ako anakiburi sana.. leo elimu ni bora kuliko mume kweli.. inatakiwa ifike kipindi aishi kama matured person mbona ana behave kama mtoto wa secondary? Nawe unaona nani aba makosa? Maana unataka sasa kuekekea upande mmoja kwasababu unamwambia avumilie ye alikwambia anateswa? Au kwa...
Kitu ccm inachofanya si sahihi hata kidogo wanataka watulatie katiba yenye misingi ya chama chao.. wanajifanya wao ndio wenye akili aana kuliko watanzania wote. So amazing!! Ngoja tuone kama wao ndio wenye akili au wananchi.. wanafikir hii ni Tanganyika ya 1961 ambapo wasomi walkua wachache...
Wewe ndio janga la taifa.. umaskini umeletwa na CCM miaka yote madarakani nini walichofanya? Bcoz walkua hawana watu wakuwa uliza sio? Leo kapatikana wakumuuliza kwa faida yako bado unamuaona hafai.. mbona unakuwa hutumii akili? Chadema anamiliki Jeshi? Wanaovunja watu miguu si CCM kwakua wapo...
Dada angu mbona hilo suala la dollar 700 limekukaba sana mpaka huku? Sisi tulioandamana tusilalamike uje kulala mika wewe ulipata update tu? Fanya kazi nawe upate zako sio wivu aina hyo.. yani hapa ndio naona tofaut kati ya mwanaume na mwanamke hata kimawazo.. pointless
We dem Vip? Mbona dola 700 haina thamani ya hadhi ya Mbowe? Ujibiwe sali lipi? Mbona unakuwa mshabiki funguka akili!! Kwanza umeishi darasa la ngapi? Maana kichwa chako kizito kuelewa mada zakipumbavu unaleta.. unatokwa povu na pesa za mbowe ulitaka utumwe wewe Sauzi? Shoga wewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.