mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,475
- 21,046
HATIMAYE REKODI NYINGINE YA TANGU 1955 YAVUNJWA RASMI!.
Baada ya Kufunga hat trick dhidi ya Sevilla Jumamosi hii Kama kawaida yake LIONEL MESSI ameendelea kuzivunjilia mbali rekodi za wakongwe baada ya kufikisha magoli 253 ktk la liga na kuwa mfungaji bora wa muda wote kuanzia sasa!
MESSI amevunja rekodi ya Mkongwe Wa Athletic Bilbao TERMO ZARRA aliyefunga magoli 251,,
Kama ilivyo kawaida ya Messi hufunga Hat tricks zake hasa ktk mechi ngumu! na ndivyo alivyoshindilia goli 3 ktk ushindi wa goli 5 dhidi ya timu ngumu ya Sevilla,
Sasa MESSI ndiye mfungaji bora wa muda wote La liga akiwa na magoli 253 ktk mechi 289,
TAKWIMU.
MGUU WA KUSHOTO--Magoli 205
MGUU WA KULIA--Magoli 37
KICHWA--Magoli 8,
Na goli moja la mkono unaweza kulitoa ukipenda,

Messi ,The marvolous