Wassira: Urais si mama mkwe

Wassira: Urais si mama mkwe

Hivi nchi hii imelaaniwa na nani kiasi dha huyu mdudu naye kutamani kutuongoza! Hii ni laana si bure! hajitizami hata kwenye mirrors zote ? kiroho ni jinamizi na kimaumbile ni dubwana lisilofaa hata kitoweo
 
CCM nitairejesha kadi yangu na kumpa mzee Mangula kwani ninwazi ameshindwa kazi ya chama chetu. Nchi hii imel3ta mauzauza ila si kwa huyu msrma hovyo, mjivuni na mwenye kujikombakomba hovyo. Musoma kama mnadhani kurejea Ikulu ni mchezo wahadaeni CCM walete jina la huyu Corrupted politician, Msaga sumu, adui wa afya ya demokrasia nchini
 
Wewe mbona unalalamika hivyo, umeingiliwa na nini sehemu ya mwili wako? Kama inauma vumilia ndio ukubwa huo.
Wassira ni kama maji usipo yanywa utayaoga kwasasa ndiye Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu-Mahusiano na Uratibu.

Haya kajinyonge sasa.
 
Pyuuu!! Kama bata kanya.
Naona unazidi kuharisha vyote ulivyokula, nakushauri meza Flagile upone.

Wassira ni level nyingine muulize bosi wako atakwambia ukweli.
 
Wewe mbona unalalamika hivyo, umeingiliwa na nini sehemu ya mwili wako? Kama inauma vumilia ndio ukubwa huo.
Wassira ni kama maji usipo yanywa utayaoga kwasasa ndiye Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu-Mahusiano na Uratibu.

Haya kajinyonge sasa.

IDARA YA HABARI MAELEZO a.k.a SHIHATA, anakesha vituo vya televisheni mpaka mate yanamkauka,na kuratibu juisi wana UKAWA wanywe,
 
Wassira, Ikulu siyo mahala pa kuchezea bali ni mahala patakatifu.

Ni kweli kabisa kwa hili nakuunga mkono.
Kwasababu sasahivi yeye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu anatakiwa abaki hukohuko miaka mingine 10.

Ubarikiwe kwa kuwaza kitakatifu.
 
IDARA YA HABARI MAELEZO a.k.a SHIHATA, anakesha vituo vya televisheni mpaka mate yanamkauka,na kuratibu juisi wana UKAWA wanywe,

Naona umehama kwenye mawazo ya Chuo kikuu umerejea mawazo ya chekechea. Hatua nzuri.

Wassira goo! Goo!
 
Nimeyasoma maneno ya wasira katika gazeti la Mwananchi akidai urais siyo mama mkwe, nimefikria sana na nikajiona ninayo haki japo kidogo ya kumwambia mzee Wasira kuwa asiufananishe au asiulinganishe hata kidogo urais na ukwe, jibu rahisi Wasra anazeeka vibaya!

Mzee Wasira tambua ukwe kwa mama mkwe wako unakoma pale unapoachana na mwanae, ni rahisi ukamuacha mkwe na kumtafuta mkwe mwingine lakini unapewa nchi kwa kiyapo cha kuilinda katiba, ni dhamana kubwa kuliko soni za mkwe wako. Umeniudhi! binafsi kama kijana niliyekuheshimu japo niliadha kukudharau pale unapojitia pamba masikioni kwa kuunga mkono upuudhi na kuuondoa uzalendo, hakika baba angelikuwepo usingepata nafasi ya kuropoka.

Sifa za kuwa rais wa nchi ni zaidi ukwe, mzee Wasira tambua uwezo wa kuongoza una kikomo na sasa inaonyesha dhahili umegota.
Binafsi kama mwana Mara na mtanzania najua dhamani na heshima ya mkoa wangu kwa Tanzania, MARA imewatoa viongozi makinia na imara kuanzia raisi, wakuu wa majeshi nk.

Baba alisema huwezi kupewa mawazo na mke wako kesho ukayaleta kuwa mawazo ya watanzani, mzee Wasira tunaomba usitualimbie sifa za mkoa wa Mara. Stafu bado ukiwa na sifa zako chache zilizobaki, kwa mambo yako ya kijinga hutakiwi hata kuonekana mwitongo! Umetuudhi sana.

Unatumiaje nukuu za mwalimu kujenga hoja zako! mwl akiwepo uliikimbia CCM leo hii unajigamba kwa maneno ya mwalimu! Au ni mwalimu yupi unayemnukuu! Au ni mwalimu wako wa Ikizu secondari na si mwalimu tunayemfahamu!
 
Mwacheni aseme,ndo tumjue,now mmemjua zaid babu sitter,je asingepewa uenyekiti mngemjua???.
 
Wewe acha kukurupuka,soma maelezo yake kwanini ilitokea hivyo kwenye gazeti la Mwananchi la jana tarehe 22/09/2014.
Mwenye habari hiyo amwekee huyu kilaza.
 
Waambie aisee

Wasira ndio kiboko ya watoto, wakimuona lazima wakimbilie ndani.
Vijana wa chadema mnawaza kikomedi komedi, hii nayo hoja imeandikwa hapa, dhumuni lake msomaji acheke?

Foolish.
 
Hata hivyo hana mke,ana kimada, hajui maana ya mama mkwe na miiko yake ndio maana anawabeza akina mama,sembuse uongozi wa nchi,atatuongoza bila miiko!
 
Wewe acha kukurupuka,soma maelezo yake kwanini ilitokea hivyo kwenye gazeti la Mwananchi la jana tarehe 22/09/2014.
Mwenye habari hiyo amwekee huyu kilaza.

nilitamani unielekeze wewe kumbe na wewe huna habari! mkuu kwa ujumla mimi nimeisoma ninayo! sitamani kukuita kilaza kama ulivyofanya kwangu ila nakupuuza.
 
Kaeleza alichokua akifanya akiwa nje ya siasa sijaona alichokosea kwan we ulitaka akuambie alikua anauza viroba?

Wewe mburula tatizo sio kile alichokuwa anauza hata vingekuwa viroba bali biashara aliyokuwa anafanya kasema ilikuwa hailipi hivyo aliomba arudi kwenye siasa za ccm ambazo zinalipa!!
 
Ur simply stupid magot!
 
CCM nitairejesha kadi yangu na kumpa mzee Mangula kwani ninwazi ameshindwa kazi ya chama chetu. Nchi hii imel3ta mauzauza ila si kwa huyu msrma hovyo, mjivuni na mwenye kujikombakomba hovyo. Musoma kama mnadhani kurejea Ikulu ni mchezo wahadaeni CCM walete jina la huyu Corrupted politician, Msaga sumu, adui wa afya ya demokrasia nchini

Ha ha ha kuww na staha alikununua mwambie tayari
Lakini wasaga sumu hula 0712... Sasa VP we kakula mpaka unamsakama Hivi mzee Wa watu kwa chuki?
 
Back
Top Bottom