CHADEMA wamepata walichokuwa wanakitafuta ndani ya UKAWA?

CHADEMA wamepata walichokuwa wanakitafuta ndani ya UKAWA?

Angalia misukule ya Lumumba ilivyojitekenya na kuanza kupongezana kwa kucheka yenyewe hahahaaa very interesting Kwi kwi kwi kwiii.....!!!
 
Hivi hawa chadema wanaandamana kwa sababu gani?

A demonstration or street protest is action by a mass group or collection of groups of people in favor of a political or other cause; it normally consists of walking in a mass march formation and either beginning with or meeting at a designated endpoint, or rally, to hear speakers. It is by its nature collective...and it can be prolonged for hours....It implies some physical action--marching, chanting slogans, singing — through which the merger of the individual in the mass, which is the essence of the collective experience, finds expression.
 
Mbowe anakiua chama. Maskini ona jinsi wananchi walivyosusa maandamano yao. Yaani hata makamanda wenyewe wamesusa

wananchi wamemstukia, ye anawasakizia halufa anaruka South kula bata huku anaacha amekinukisha!
 
Hii tabu sana nchi hii kuna watu mburula sana,kuna vinaja wanajiita BAWACHA wanasumbua sana.


huna lolote unajifanya. umeridhika na ccm wakati familiy tuko huko kijijini wanakula nusu mlo kuwa siku hawawezi nunua hats panadol wakati nchi tuko tajiri.
la sivyo unalamba 7 Lumumba.
 
CHADEMA wameyumba sana hata sasa bado wapo wanahangaika wakitafuta pa kushika maana miti yote inateleza na kwa ajili ni wabinafsi utaona mara wakipata chao tu CUF na NCCR wataonekana kwao ni magamba au CCM B kama kawaida yao. Subirini tuwape muda kidogo.
 
Yeye mwenyewe yupo hukooo South Africa anatumbua maisha kwa kulala hotel ya dola 700 kwa aiku huku wafuasi wake wakishindia mikate

Dada angu mbona hilo suala la dollar 700 limekukaba sana mpaka huku? Sisi tulioandamana tusilalamike uje kulala mika wewe ulipata update tu? Fanya kazi nawe upate zako sio wivu aina hyo.. yani hapa ndio naona tofaut kati ya mwanaume na mwanamke hata kimawazo.. pointless
 
CHADEMA ni janga la kitaifa, watu wanaacha kufanyakazi, wanakuwa vilema kwa sababu yao, hatari sana. Vijana tuwe makini sana.

Wewe ndio janga la taifa.. umaskini umeletwa na CCM miaka yote madarakani nini walichofanya? Bcoz walkua hawana watu wakuwa uliza sio? Leo kapatikana wakumuuliza kwa faida yako bado unamuaona hafai.. mbona unakuwa hutumii akili? Chadema anamiliki Jeshi? Wanaovunja watu miguu si CCM kwakua wapo madarakani wanatumia jeshi kwa kufanya maovu? Na kuua watu? Tumia akili..
 
Ndugu wadau na wapenzi wa JF, itakumbukwa kwamba tukio la kuanza kwa vikao vya Bunge Maalum la Katiba lilitanguliwa na tukio la machafuko yaliopelekea mvutano wa kisiasa ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na hata kupelekea chama hicho kuondokewa na makamanda wao mahiri kama ZITTO ZUBERI KABWE, SAMSOM MWIGAMBA na KITILA MKUMBO.

Ni kutokana na sintofahamu hiyo ndani ya chama hicho kikuu cha Upinzani iliyopelekea, Mwenyekiti wa chama hicho FREEMAN MBOWE kukubali kuundwa kwa umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na kutangaza kulivunja Baraza kivuli la Mawaziri liliokuwa likiundwa na Wabunge wa chama chake pekee na kulisuka upya kwa kuwaingiza Wabunge wa vyama vya CUF na NCCR, Wabunge ambao awali Mh.MBOWE alisema wasingeshirikishwa kwenye baraza hilo kwa madai kuwa vyama hivyo ni washirika wa CCM kwa vigezo kwamba CUF kimeunda serikali ya umoja wa Kitaifa huko Zanzibar na NCCR kinaongozwa na Mwenyekiti ambaye ni mteule wa Rais katiba bunge la Jamhuri ya Muungano.

Msimamo wa UKAWA ulionekana kuwa na nguvu jambo ambalo lilikipa chama cha CHADEMA faraja kwa vile kule kulemewa na mgogoro ndani ya chama kulianza kufunikiwa kabisa na Muungano huo wa UKAWA.

Swali: Maandamano haya yanayoendeshwa na CHADEMA nchi nzima bila kuwashirikisha washirika wengine wa UKAWA, Je CHADEMA wamejiridhisha kuwa sasa umaarufu wao umerudi na hawana haja tena ya kuendelea na washrika wa CCM?
tanzania kuna mambo mengi ya kujadili yenye faida kwa taifa letu kuliko kuleta thread za wagonjwa wa akili kujadili mambo ambayo hayana faida kwa taifa ccm ni marehemu watarajiwa UKAWA NI SUMU YA KUUWA CCM NA VIBARAKA WAKE WOTE VIVA UKAWA DAIMA
View attachment 187636
 
point yako ni ipi? unaungana na ULAGHAI wa CDM?

Point ni hata kama ukubaliani na CDM, niupumbavu kujifanya ujui wanachodai wakati kila mtu ameongelea, bungeni, raisi, wansheria, wasomi chuoni, mmapolisi, Taassisi kazaa, nk
 
CHADEMA wakitaka maandamano Mbowe na washirika wake watangulize watoto na wake zao mbele na sie ndio tufuate , tumechoka sana kupata ulemavu na kujeruhiwa wakati wao wakikaa majumbani kutuangalia kwenye Matv wakiangalia tunavyopata kibano , hata kuja hospitali hawaji wakati tukiwa tumelazwabaada ya kupata kibano.
Acha kukariri, hili ndio tatizo la vichwa madodoki
 
Back
Top Bottom