Hawa watu wanakera sana..kazi yao kutokwa mapovu kila siku mwisho wa Siku hatuoni athari za wao kutoka bungeni. Watafute plan B maana hiyo ya kutoka bungeni kila Siku haina athari yeyote...wao wakitoka wenzao wanafanya yao..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.