Simu za bei rahisi kutoka Samsung

Simu za bei rahisi kutoka Samsung

Ya kwanza ni Sm-G532f. Samsung wanazo mtk na spd pia. Kama haujaridhika nitakuwekea list ya simu zote za mtk na spd uzijue.
SAMSUNG HAWAJAWAHI NA HAITALUJA KUTOKEA KUTUMIA MEDIATEK ACHA UONGO
 
Kuna A10 na A10s Ni simu mbili tofauti.

Na Helio p22 Ni 12nm SOC, Ni nzuri Sana kwenye ukaaji chaji, hasa vile inakuja na 4000mah,

Simu hii itakuwa dhaifu in term of performance compare na A10 ya kawaida na itakaa na chaji zaidi, Bei pia inaweza kuwa rahisi zaidi.
Mkuu unaweza weka Picha hapa ya hiyo A10s??
 
Mkuu unaweza weka Picha hapa ya hiyo A10s??
Haina utofauti Sana na A10 ya kawaida
samsung-galaxy-a10s-1.jpg
 
Samsung a10s zina heat tofauti na a10.
Hata kwenye performance a10 iko vizur zaid. Tofauti ni camera na chaji tu ila performance a10 bado iko vizuri.
 
Mediatech ni mediatech tu
Samsung a10s zina heat tofauti na a10.
Hata kwenye performance a10 iko vizur zaid. Tofauti ni camera na chaji tu ila performance a10 bado iko vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom