Msaada UDOM

Msaada UDOM

memory card

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2013
Posts
259
Reaction score
167
Wajameni nisaidieni udom 2 year tulilipa bima ila mpaka namaliza mwaka wa pili bima hatujapewa je malipo ya sasa hivi yatahusisha bima,au tutafidia ile maana ni 100000 sio ndogo.msaada naombeni wa haraka kwa anaejua
 
Chuo cha kipuuz saana hiki,kwan hapo hamna serikal ya wanafunzi?viongozi wenu wanasemaje
 
First year tunalipa 50,400/= halafu kadi yenyewe haitolewi eti unabaki na kopi ya form uliyojaza ili ndo itumike kama kadi dah! Najilaumu sana kulipia BIMA,ni bora hata ningelipia NSSF kuliko bima ya afya,imekaa kikuda kweli kweli.
 
bima ni 50,400/= hiyo laki wametoa wap??
 
Back
Top Bottom