Imetua kwenye sayari ya dunia? Mtoa maada unajua umbali kati ya sayari moja na nyingine katika Solar System? Km 2000? Acha utani. Chombo kikirushwa kwenda Mars, kwa mfano, kinatumia mpaka siku 180 kufika na kwa speed ya zaidi ya 60,000mph.
Tatizo siyo taa, tatizo ni ulegevu wenu wenyewe wanafunzi. Mnakabwa na vibaka chuoni kwenu mnakuja kumlilia Waziri? Halafu wengine mmepita JKT na mnashindwa kuwakomesha wahuni hadi wakiona kibao cha SUA wakimbie wenyewe? Jipangeni mjilinde Waziri ana kazi za kitaifa.
Rais wa Marekani Donald Trump amemfukuza kazi Mkurugenzi wa FBI, James Comey. Hili linakuja wakati ambapo FBI inaendesha uchunguzi kubaini kama kulikuwa na uhusiano kati ya wasaidizi wa Trump na Urusi wakati wa kampeni za mwaka jana. Urusi inatuhumiwa kuingilia uchaguzi wa Marekani kumsaidia...
China ndiyo inastuka? Mgogoro wa Korea unatumiwa na Marekani kama kisingizio cha kuweka mitambo ya kijeshi kudhibiti ushawishi wa China Asian Pacific. Marekani ana hofu na uchina kiuchumi na kijeshi kuliko Korea Kaskazini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.