Sitaki THAAD zenu hapo: China ya foka!

Sitaki THAAD zenu hapo: China ya foka!

Safi Sana mkuu, halafu China ana nini cha kuitisha Marekani?
Ni Vita gani mchina amewahi kupigana kiasi cha kumpatia uzoefu wa Vita?
Marekani itabakia kuwa Marekani tu hata iweje.
US yenyewe hsijawahi kupigana vita pekee yake ikashinda.
 
China (中国[emoji630]-zhong Guo ) c ya kubeza Bado mshirika urus hajatoa kaul
 
Hao ni vyura tuu hawamzuii ngombe kunywa maji...THAAD itawekwa wakubali wasikubali hayo ndio maamuzi ya wanaume.....wana msemo wao wanasema...when its about our security we dont wait anyone to act..we are the first
 
Lakini hana nguvu au ushawishi wa kuizidi USA!! Kwenye peninsula hiyo na ndio maana hata china anapoanza vurugu za kugombea vile visiwa na japan mtetezi huwa anakuwa USA, la licha ya vitisho vya mchina kwenye visiwa hivyo lakini marekani huwa anazungusha ndege zake. Pasipi wasiwasi!! Hata umchukie USA bado ukweli utabaki pale pale kuwa ndio mbambe wa dunia kwa sasa.
Si alisema ataenda kivyake kushughulikia Kim, mbona leoTrump kampigia simu Putin 'akiomba ' washirikiane kuhusu kutatua changamoto za North Korea na Syria? Si ni mbabe? Aende sasa kivyake akione!
Putin, Trump speak by phone, discuss Syria, N.Korea – Kremlin
 
China (中国[emoji630]-zhong Guo ) c ya kubeza Bado mshirika urus hajatoa kaul
wazee wa kauli tu hao,,,, USA anafanya vitendo. Wasipumbaze dunia hao wachina na warusi, hawana ishu, kama mrusi anaweza angetuonesha response Syria alipopigwa rafiki yake. Kaishia kutoa kauli tu. Wao kauli na kauli na wao, vitendo hawana kama mbwa koko. Huyu Kim nae atulie, mana atapigwa wenzake wamtizame tu. Mtu mwenyewe missile hazivuki juu ya paa la nyumba ndogo zinaripuka.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Lakini hana nguvu au ushawishi wa kuizidi USA!! Kwenye peninsula hiyo na ndio maana hata china anapoanza vurugu za kugombea vile visiwa na japan mtetezi huwa anakuwa USA, la licha ya vitisho vya mchina kwenye visiwa hivyo lakini marekani huwa anazungusha ndege zake. Pasipi wasiwasi!! Hata umchukie USA bado ukweli utabaki pale pale kuwa ndio mbambe wa dunia kwa sasa.
Haha! Huu ukweli hatuupendi sana.
 
wazee wa kauli tu hao,,,, USA anafanya vitendo. Wasipumbaze dunia hao wachina na warusi, hawana ishu, kama mrusi anaweza angetuonesha response Syria alipopigwa rafiki yake. Kaishia kutoa kauli tu. Wao kauli na kauli na wao, vitendo hawana kama mbwa koko. Huyu Kim nae atulie, mana atapigwa wenzake wamtizame tu. Mtu mwenyewe missile hazivuki juu ya paa la nyumba ndogo zinaripuka.

Eti hazivuki juu ya paa!..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
"Kama china hataonyesha ushilikiano nitafanya mwenyewe" elewa hii statement kwanza.
Hivi anashindwa nini sasa wakati mara mbili North Korea wamefanya majaribio ya makombora tena baada ya kupigwa biti na Tump kuwa waache!
 
China ndiyo inastuka? Mgogoro wa Korea unatumiwa na Marekani kama kisingizio cha kuweka mitambo ya kijeshi kudhibiti ushawishi wa China Asian Pacific. Marekani ana hofu na uchina kiuchumi na kijeshi kuliko Korea Kaskazini.
 
Safi Sana mkuu, halafu China ana nini cha kuitisha Marekani?
Ni Vita gani mchina amewahi kupigana kiasi cha kumpatia uzoefu wa Vita?
Marekani itabakia kuwa Marekani tu hata iweje.
Marekani ni ishu nyingine aisee
 
Safi Sana mkuu, halafu China ana nini cha kuitisha Marekani?
Ni Vita gani mchina amewahi kupigana kiasi cha kumpatia uzoefu wa Vita?
Marekani itabakia kuwa Marekani tu hata iweje.
mkuu kwani kuna yeyote aliyesema Marekani itakuwa Koromije??
 
US yenyewe hsijawahi kupigana vita pekee yake ikashinda.
Marekani wahuni sana...yaan vita anaanzisha yeye lakini atalazima na wengine wapigane kwa maslahi yake....kwa mfano kinachoendelea huko korwa kwa sasa anajaribu sana kuingiza na mataifa mengine
 
USA anatumia strategy kama kwenye mpira. Vita ikianza tu Japan na SK watalazimika tu kuingia vitani na wao, hapo vita itakuja kuwa Japan na SK against NK, USA ataprovide assistance tu
 
Back
Top Bottom